Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu zipake walau rangi zivutie. Motor kweli zaweza kuwa ni nzima ila hazina mwonekano mzuri.Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.
Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila moja.Angalia picha.Kama unazihitaji njoo 0688901124View attachment 1586530
Kupandisha maji kutoka chini kwenda juu kwenye simtankZinafanya kazi gani ndugu yangu
yes zinafanya kazi kwa asilimia 100Zinafanya kazi gani ndugu yangu
hapana hizo sio water pump bali ni mota(motor)Kupandisha maji kutoka chini kwenda juu kwenye simtank
Za wizi nini inamaana hata matumizi yake hajuihapana hizo sio water pump bali ni mota(motor)
kama kitu hukijui pita tuZa wizi nini inamaana hata matumizi yake hajui