Motivation Speaker anatakiwa awe Ally Hapi, Siyo wale kuongea pasi vitendo

Thats Gud, amefanya nice move kuliko yule boss alietumbuliwa akaanza kuuza mayai 🀣🀣🀣
 
[emoji28][emoji28]
 
Wala usijisumbue, anaeona haiwezekani abaki hivyo hivyo wakati wengine wanasonga mbele.
 
Jichanganye tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha.

Kuna Mzee mmoja aliamua kulima mahindi. Akaandaa shamba vizuri, akapanda, baada ya muda kidogo mahindi yakachipua vizuri sana. Akafurahi mno, aliporudia kwa mkewe akamsimulia jinsi mambo yalivyo mazuri shambani, mkewe naye akatamani sana aende akajionee.

Wiki mbili baadaye, mume akambeba mkewe kwenye gari, safari ya kwenda shamba ikaanza. Alahaulaaah! Mume si akajikuta analipita shamba lake! [emoji23][emoji23]

Kumbe ulipita ukame wa hatari mahindi yote yakakauka.

So comment yako imenikumbusha maswala ya misimu na mabadiliko ya tabia nchi [emoji28][emoji28].
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo ya kuku ndoimeniacha hoi....
 
Ukishaona kitu kina picha picha nyingi na mhusika yupo, jua hali si hali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wala usijisumbue, anaeona haiwezekani abaki hivyo hivyo wakati wengine wanasonga mbele.
Wengi wa vijana wa kizazi kipya wanataka kazi za ofisini yaani anatoka home kavaa hivi

Hapo hata kama hama nauli haoni shida atafanya juu chini afike getto but kwa kazi kama za ndg Ally Hapi πŸ˜€ ndiyo hawa wanaoinga humu.
 
Mawazo koma, ila natamani nzige na viwavi wamshukie wale mpaka io mizizi. Ili asidharau tena wazee
 
Kazi anazozitambua Lema ndio wanavaaga hivi...hata kama zinakipato kidogo kuliko bodaboda
 
Anaefahamu Ally hapi kalimia wapi na sehemu gani anijuze...
 
Jamaa inaonesha kilimo kipo kwenye damu. Halafu ni nadra sana kukuta kiongozi anayejihusisha na kilimo akawa na vitabia vya udokozi wa mali za umma. Mara nyingi huwa na huruma na masikini maana wengi wao anakutana nao shambani wakisaka vibarua. Mimi ni moja ya mtu niyayeamini mafanikio katika kilimo na ninakipenda kwelikweli natamani siku moja nimtembelee huyu muheshimiwa nipate kujifunza zaidi hasa connection za masoko.
 
Ungemalizia hizo trector zinaitwa Massey Ferguson.
 
Mimi huwa siamini kuwa waliokutangulia wote ni wajinga, kilimo cha tz au africa gharama utakayoweka na mavuno utakayopata ni tofauti kwenye bei sasa wakati wa kuuza utachoka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…