Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mkuu unataka kutuaminisha warundi wanalima kuliko sisi? Nenda kilombero, nenda Mbalali utawaheshimu watanzania.Hakuna maajabu wape moyo watu, kuna wengi wanaonitafuta na hawajui waanzie wapi, Tanzania ina fursa nyingi mno, hamuoni aibu waha na wasukuma kuwauzia mashamba wanyarwanda na warudi mashamba makubwa ya kilimo pale kibondo, kakonko na chunya na wageni kufanya kilimo na kutajirika mbele ya macho yenu ilihali ninyi mnalia lia kama wendawazimu?
Naamini ktk A.mash hakuna nchi wanalima zaidi ya sisi watanzania na ndio maana hatuitaji chakula kutoka ng'ambo zaidi ya ngano na alizeti