Motivation Speaker anatakiwa awe Ally Hapi, Siyo wale kuongea pasi vitendo

Mkuu unataka kutuaminisha warundi wanalima kuliko sisi? Nenda kilombero, nenda Mbalali utawaheshimu watanzania.
Naamini ktk A.mash hakuna nchi wanalima zaidi ya sisi watanzania na ndio maana hatuitaji chakula kutoka ng'ambo zaidi ya ngano na alizeti
 
Mimi huwa siamini kuwa waliokutangulia wote ni wajinga, kilimo cha tz au africa gharama utakayoweka na mavuno utakayopata ni tofauti kwenye bei sasa wakati wa kuuza utachoka mwenyewe
Kila mtu angekuwa ma mawazo kama yako sidhani kama leo tungekuwa HAI, watu wangekuwa wanapukutika kwa ukosefu wa chakula ila bado wanawekeza as huyu Motivation Speaker wetu hapa Ally Hapi.
 
Amshukuru Rais kumuondoa kwenye siasa, la sivyo haya tusingeyaona
 
Kila mtu angekuwa ma mawazo kama yako sidhani kama leo tungekuwa HAI, watu wangekuwa wanapukutika kwa ukosefu wa chakula ila bado wanawekeza as huyu Motivation Speaker wetu hapa Ally Hapi.
Sawa mkuu, lkn jiulize kwanini huko vijijini ambako ndiko chakula hutokea ni mkulima yupi kamwajiri mfanyakazi na anamlipa mshahara wa house girl plus bima ya afya? Kwa kila wilaya nitajie 5 tu. Zingatia kuwa chakula tunachokula kila siku tunategemea hao wakulima, Ukinijibu kwa ufasaa utanielewa nasema nini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
uyu dogo kiburi na kuabudu john kulimponza. alikuwa anafika mbali zaidi ya hapo na alikuwa kiongozo mzuri tu. shida aliota mapembe.
 
Point of view is not wilaya yenye mtu analipa mfanyakazi wake wa shamba NO!.

Tusimamie issue ya kilimo cha kulisha jamii na kibiashara, wilaya ya njombe, sumbawanga, kibaigwa, mkoa wa mbeya, Shinyanga nk, kwa baadhi tu hiyo inatoa chakula unachokula leo.

Issues za kilimo kama mtu hawezi kulima kulingana na mazingira yalivyo hutoboi.
 
uyu dogo kiburi na kuabudu john kulimponza. alikuwa anafika mbali zaidi ya hapo na alikuwa kiongozo mzuri tu. shida aliota mapembe.
Kuna jambo nadhani hatulielewi kwenye masuala ya uongozi.

Mimi nasema hata ukiwa wewe lazima utaenenda sawa sawa na boss wako, nimeandika sana humu ni kuwa huwezi kwenda kinyume na boss wako, ikiwa hivyo unapotea, elewa hiyo dhana.

Mimi simlaumu Ally wala wenzake nalaumu mfumo na katiba tuliyonayo ndiyo inapelekea watu kumsujudi aliyewateua au walio nje ya mfumo wanasujudu ili nao wakumbukwe.
 
mbona wenzake wengi tu walitumia busara na hawakumuudhi john wala kuwafanyia kiburi na kuwatukana wazee kina jk kinana etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…