Watu mitandaoni hawatakwambia kuwa wazazi wao wanawasaidia kulipa kodi,ndugu zao wanawasaidia kupata pesa za mtaji na kuanzisha biashara zao na hawatakwambia kuwa wana wababa wanaowatumia pesa kila mwezi kwaajili ya manunuzi ili wale,wavae wapendeze na waende sehemu mbalimbali.
Hawatakwambia kuwa wana ndugu na jamaa zao serikalini wanaowapa madeal na kuwaunganisha kazi.
Usichanganywe na maisha ya watu, usiumizwe na usivyojua vyanzo vyake.
USISHINDANE NA USIJIRINGANISHE
Kutoka Twitter