Moto Kariakoo: Tunaendekeza machinga mentality, tumeanza kuvuna mabua

Hamuwezi kunuka, badala yake mtanukia.
Nchi hii haijawahi kutokea wanyonge wakanuka.
Ninyi wamachinga ndiyo wanyonge wa nchi hii.
Sisi ndio tumeiweka hii serikali ya "wanyonge" madarakani, naona mnaleta chokochoko, mnataka kumdanganya mama ashindwe !
 
Katiba mpya haiondoi uzembe wala haizuii moto kutokea
Hakuna katiba inayozuia moto kutokea duniani. Angalia utaitwa zuzu kwa kujenga hoja kwenye jambo la namna hii. Katiba ikiwa nzuri inatoa nafasi ya mifumo ya nchi kufanya kazi kwa ufanisi. Na mifumo ikifanya kazi kwa ufanisi maisha ya wananchi yanaimarika na nchi inaendelea.
 
Nimekwambia haiondoi uzembe ndio maana Ulaya pamoja na kuwa nchi zake zina Katiba nzuri lakini bado kuna mambo ya ovyo ovyo yanafanyika.
Ulivyo punguani ukasoma na kujibu sentensi moja
 
Nimekwambia haiondoi uzembe ndio maana Ulaya pamoja na kuwa nchi zake zina Katiba nzuri lakini bado kuna mambo ya ovyo ovyo yanafanyika.
Ulivyo punguani ukasoma na kujibu sentensi moja
Uzembe hauwezi kuondoka kwa watu wote wacha kujenga hoja kwa jambo kama hili kwani unaweza kuitwa zuzu. Uzembe unaweza kupungua kwa kiasi kikubwa lakini hauwezi kuisha kwa kila mtu.
 
The Blame game.

Serikali ijitathmini .

Kuna haja ya kuangalia mambo muhimu ya kitaifa.

Hili jambo la kuwa na bajeti ambayo matumizi ya kawaida ni makubwa kuliko Yale ya miradi ya maendeleo matokeo yake ndio kama haya.
 
Msiaze kusingizia wamachinga. Mnalo hilo mlinywe! Na aliedesig masikini hatunaye tena!
 
But all in all its cannot garantee you food on the table , work hard man
 
Kumbe machinga wamechoma soko moto ili wapate mahala pa kuuzia yale matakataka yao ya kutoka jalalani China
Ama wenye maduka wamechoma ikiwa ni reaction ili wamachinga waondolewe mbele ya maduka yao
 
Amani Jidulamabambasi amefufukia JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…