Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Kuna watu wa hovyo, Basi huyu anaongoza katika Safi wa executivesPM wetu miyeyusho sana
Matusi ya Nini? Ukitukanwa usikimbilie kuomba banNimekwambia haiondoi uzembe ndio maana Ulaya pamoja na kuwa nchi zake zina Katiba nzuri lakini bado kuna mambo ya ovyo ovyo yanafanyika.
Ulivyo punguani ukasoma na kujibu sentensi moja
Tatizo si ka mtu mmoja.Kama Kuna watu wa hovyo, Basi huyu anaongoza katika Safi wa executives
Kwani machinga ndio wamechoma soko? Hii chuki binafsi kwa wamachinga inawasaidia nini nyie watu? Maana kuna vita baridi dhidi ya hawa watu 😅 sio kila mtu ana hela ya kununua fremu za mamilion ila wote tunataka tufanye biashara kariakoo jmn sababu watu wapo! Uhakika wa kupata riziki upo eneo lile sasa ubaya ni nini? Au tuje tuwaibie power window za magari yenu mitaani kwenu.Tatizo si ka mtu mmoja.
Ni collective responsibility, wanasiasa kwa ujumla wao wamelilea hili tatizo la machinga mijini.
Msimamo huo unapingana na sheria za Mipango Miji.
Watendaji serikalini ni kama wamepigwa ganzi kulishughulikia.
Kwa msimamo huo mimi binafsi nategemea moto zaidi Jijini.
Kama serikali kipaumbele ni sanamu, unategemea watakumbuka lini kilimo na viwanda? Walianza na sanamu la Diamond tukadhani wanatania, wakaja sanamu la Samata, sasa wameanza la Bwana yule. Yaani ni mwendo wa sanamu, sanamu, sanamu.Waboreshe sekta ya kilimo, viwanda, nk. Hakutakuwa na machinga mjini tena.
Unataka ukusimulie kila kitu? Huna MB za ku google ukasoma?/wacha kusho watuMtoa mada umeandika kana kwamba kila Mtu humu JF alisoma history na anaijua iyo THE GREAT FIRE OF LONDON 1666.
Mkuu unatetea kitu kinaitwa ANARCHY, au lawlessness.Kwani machinga ndio wamechoma soko? Hii chuki binafsi kwa wamachinga inawasaidia nini nyie watu? Maana kuna vita baridi dhidi ya hawa watu 😅 sio kila mtu ana hela ya kununua fremu za mamilion ila wote tunataka tufanye biashara kariakoo jmn sababu watu wapo! Uhakika wa kupata riziki upo eneo lile sasa ubaya ni nini? Au tuje tuwaibie power window za magari yenu mitaani kwenu.
Hahahahah angekuwepo mzee Magu ningeingiaMkuu unatetea kitu kinaitwa ANARCHY, au lawlessness.
Lazima Miji iendeshwe kwa mipango inayoeleweka, kama ni riziki inginia na pale getini Ikulu uuze bidhaa zako.
Ni poa tu.
Ungekuwa hujipendi 😳!Hahahahah angekuwepo mzee Magu ningeingia
Yupo busy na nywelePM wetu miyeyusho sana
Why wasingenikubalia au Magu alikuwa raisi wa wanyongeUngekuwa hujipendi 😳!
Tusmwongelee huyo jamaa, Diallo kamaliza kila kitu!!Why wasingenikubalia au Magu alikuwa raisi wa wanyonge
Kuna mambo hujayaweka wazi bado brother weka mambo wazi hiyo Great fire sio kila mtu anajua humuManagement ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway.
Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita , Uingereza ilijifunza kutokana na moto huo wa siku nne mfululizo.
Chanzo: Machinga type mentality.
Sisi huku Tanzania , wanao manage miji, wanasiasa na hata hao machinga, wametoka vijijini, wengine jana, na wengine si zaidi ya miaka 15 au 20 iliyopita.
Katika historia ya kikoloni sisi tulisoma juu ya The Great Fire of London, sina uhakika na hilo kwa viongozi wengi wa miji wa sasa.
Tumeonya sana juu ya Machinga mijini, lakini kwa vile ni mtaji wa kisiasa, wataendelea kuwepo hadi tukio kama la Kariakoo litokee tena.
Rais na hata Waziri Mkuu wanaunda Tume za chanzo cha moto wakati majibu wanayo. Basically ni whitewash.
Tumechecka na machinga mentality, na sasa tunavuna mabua, literally!
Anachoweza kufanya huyo PM ni kwenda eneo la tukio na makamera, kuongea blah blah na kuunda kamati, basi na mchezo unaishia hapo........tunakaa standby kusubiri tukio jingine.PM wetu miyeyusho sana