Kama moto huo ni mwenge basi chunga adabu yako. kutokuzungushwa mwaka jana imetuletea maafa makubwa. Ile ni mila ya TaifaBado kuna moto mwingine unazungushwa
Tahadhari kwa corona hazipo
Moto huo unawaka kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama moto huo ni mwenge basi chunga adabu yako. kutokuzungushwa mwaka jana imetuletea maafa makubwa. Ile ni mila ya TaifaBado kuna moto mwingine unazungushwa
Tahadhari kwa corona hazipo
Moto huo unawaka kimya kimya
Hilo halikwepeki.Lawama zote ziende kwa serikali kwa kuwa na mipango mibovu
Kuna mambo hujayaweka wazi bado brother weka mambo wazi hiyo Great fire sio kila mtu anajua humu
DuuhKama moto huo ni mwenge basi chunga adabu yako. kutokuzungushwa mwaka jana imetuletea maafa makubwa. Ile ni mila ya Taifa
Hapo ni watu wapige posho maisha yaendeHilo halikwepeki.
Machinga scourge sasa ni kama a way of life, mioto itaendelea kutokea.
Hizi tume zinazoundwa ni za ku pass on the buck, hazitataua tatizo lenyewe.
ko mnataka kusema kua machinga ndo waloababsha moto au? moto ni ajali kma nyengne cha umuhmu hapo kuboresha mifumo ya kuzuia na kupambna na ajali.sasa unalaum machnga vp na lile gorofa lilidondoka kkoo miaka io.nayo ilikua machnga.ila watz cjui tutaacha lini izi mambo.Management ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway.
Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita , Uingereza ilijifunza kutokana na moto huo wa siku nne mfululizo.
Chanzo: Machinga type mentality.
Sisi huku Tanzania , wanao manage miji, wanasiasa na hata hao machinga, wametoka vijijini, wengine jana, na wengine si zaidi ya miaka 15 au 20 iliyopita.
Katika historia ya kikoloni sisi tulisoma juu ya The Great Fire of London, sina uhakika na hilo kwa viongozi wengi wa miji wa sasa.
Tumeonya sana juu ya Machinga mijini, lakini kwa vile ni mtaji wa kisiasa, wataendelea kuwepo hadi tukio kama la Kariakoo litokee tena.
Rais na hata Waziri Mkuu wanaunda Tume za chanzo cha moto wakati majibu wanayo. Basically ni whitewash.
Tumechecka na machinga mentality, na sasa tunavuna mabua, literally!
Machinga anahusikaje moto uliotokea orofani ambako hawafanyii kazi huko?Management ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway.
Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita , Uingereza ilijifunza kutokana na moto huo wa siku nne mfululizo.
Chanzo: Machinga type mentality.
Sisi huku Tanzania , wanao manage miji, wanasiasa na hata hao machinga, wametoka vijijini, wengine jana, na wengine si zaidi ya miaka 15 au 20 iliyopita.
Katika historia ya kikoloni sisi tulisoma juu ya The Great Fire of London, sina uhakika na hilo kwa viongozi wengi wa miji wa sasa.
Tumeonya sana juu ya Machinga mijini, lakini kwa vile ni mtaji wa kisiasa, wataendelea kuwepo hadi tukio kama la Kariakoo litokee tena.
Rais na hata Waziri Mkuu wanaunda Tume za chanzo cha moto wakati majibu wanayo. Basically ni whitewash.
Tumechecka na machinga mentality, na sasa tunavuna mabua, literally!
Kumbe machinga wamechoma soko moto ili wapate mahala pa kuuzia yale matakataka yao ya kutoka jalalani China
Tume za Kassimu Majaliwa huwa hazina majibu yenye tija, ule mwaka ilitokea ajali pale Morogoro, akaishia kuunda tume isiyo na kichwa wala miguu halafu wala hatukusikiia majibu ya hiyo tume na lijamaa lipo tu.Hio tume ya uchunguzi anayodai Waziri Mkuu ije na majibu ya kueleweka. Maana Chanzo cha moto kinaweza kuwa ni mkaa uliotumika halafu haukuzimwa.
Wapi umetukanwa binti yangu ?Matusi ya Nini? Ukitukanwa usikimbilie kuomba ban