Moto Kariakoo: Tunaendekeza machinga mentality, tumeanza kuvuna mabua

Bado kuna moto mwingine unazungushwa
Tahadhari kwa corona hazipo
Moto huo unawaka kimya kimya
Kama moto huo ni mwenge basi chunga adabu yako. kutokuzungushwa mwaka jana imetuletea maafa makubwa. Ile ni mila ya Taifa
 
Kila siku wanaishia kuunda tume
Majibu yenyewe ya tume iliyoundwa
Hutaisiikia
Acha tusubirie moto mwingine utoke

Ova
 
ko mnataka kusema kua machinga ndo waloababsha moto au? moto ni ajali kma nyengne cha umuhmu hapo kuboresha mifumo ya kuzuia na kupambna na ajali.sasa unalaum machnga vp na lile gorofa lilidondoka kkoo miaka io.nayo ilikua machnga.ila watz cjui tutaacha lini izi mambo.
 
Machinga anahusikaje moto uliotokea orofani ambako hawafanyii kazi huko?

Umetumwa kuwachafua au ndio mmefanya tukio hilo ili mtengeneze sababu za kuanza kuwashambulia?
 
Kipindi linaungua soko la Tunduma Amos Makala alikua mkuu wa wilaya hio, linaungua la Mbeya alikua mkuu wa mkoa wa Mbeya, now la kariakoo yupo pale.
Plan ni kujenga jipya, wamechoma!
 
Wengi wenye maduka mule ndani ni wafanyabiashara wenye mitaji mikubwa
Ambayo wamepoteza

Ova
 
Hio tume ya uchunguzi anayodai Waziri Mkuu ije na majibu ya kueleweka. Maana Chanzo cha moto kinaweza kuwa ni mkaa uliotumika halafu haukuzimwa.
Tume za Kassimu Majaliwa huwa hazina majibu yenye tija, ule mwaka ilitokea ajali pale Morogoro, akaishia kuunda tume isiyo na kichwa wala miguu halafu wala hatukusikiia majibu ya hiyo tume na lijamaa lipo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…