Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mungu anawalipa hapa hapa duniani ukifanya ubaya na huo ubaya uliyemfanyia mtu utakurudia wewe mwenyewe. Ni Karma.Walikuwa bize kupeleka mabomu mazito huko Israeli sasa na wao wanapata chamoto
Mungu hausiki na haya majangaz pia what if sio karma ni mipango ya watu wachache ili kupush agenda zao kwa serikali?Mungu anawalipa hapa hapa duniani ukifanya ubaya na huo ubaya uliyemfanyia mtu utakurudia wewe mwenyewe. Ni Karma.
View attachment 3199020
Mungu anaweza kuwatumia viumbe wake kulipa kisasi ulitaka Mungu mwenyewe aje kuwasha moto na watu wamuone ndipo utakapo amini kazi ya Mungu?Mungu ana njia nyingi za kuweza kuwaadhibu watu wabaya kwa njia zozozte zile.Mungu hausiki na haya majangaz pia what if sio karma ni mipango ya watu wachache ili kupush agenda zao kwa serikali?
Mungu pia amewalipa Gaza kWa ugaidi walioufanya dhidi ya Israel Oct 7.Mungu anawalipa hapa hapa duniani ukifanya ubaya na huo ubaya uliyemfanyia mtu utakurudia wewe mwenyewe. Ni Karma.
View attachment 3199020
Mkuu hao jamaa wanajitahidi sana ukilinganisha ukubwa wa janga, casualties na muda wanaotumia. Huo moto una ukubwa wa nusu ya eneo lote la mkoa wa Arusha.Nimetafakari sana, Wamarekani wanaojiona wana kila kitu wameshindwa kujiokoa kwenye hili janga… Ndivyo wale watoto wasio na hatia Gaza wanavyoshindwa kujiokoa!
Usichojua ni marekani ndio inapigana uko Palestine iyo Israel ni kiini macho tu wajeda silaha zote za marekani yeye ndio mwenye vita yake,Sababu ingekuwa ni Gaza huo moto ungeanzia Israel. Huo moto ni janga kama majanga mengine wala siyo karma kwa Marekani kufadhili vita vya Gaza au Ukraine.
Kigogo kipindi ichi ungejificha kwamuda usije kuwaponza na wengine uko vichocholoni unapoishi kutawaka moto!!!Mungu pia amewalipa Gaza kWa ugaidi walioufanya dhidi ya Israel Oct 7.
Tizama dunia hii. James Woods, muigizaji maarufu wa Hollywood ambaye alishabikia Wapalestina wote wa Ghazza wateketezwe, Mungu kamtahini kwa kuunguliwa na nyumba yake katika moto mkubwa unaoendelea kuiteketeza California, sasa analia kama mtoto mdogo! Ama kweli mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi
View attachment 3198940
View attachment 3198962
View attachment 3198970
View attachment 3198977