Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ebu jaribu kufikiria huo moto ungetokea hapo manzeseNimetafakari sana, Wamarekani wanaojiona wana kila kitu wameshindwa kujiokoa kwenye hili janga… Ndivyo wale watoto wasio na hatia Gaza wanavyoshindwa kujiokoa!