APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,
Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari