Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kulamba ukwaju wewe,mimi ni Yanga ila huu upumbavu Nishindwe kutumia vitu vya azam eti kisa Fei toto, hawa wanaojiita wazee wa Yanga hicho cheo wamepewa na nani pumbavu zao
Mwenye akili siwewe??au dejani??Babra moo kawapiga nyie mbumbumbuAkili zenu zinaishia kwenye connection tu ila huwa mnajikuuta!wakati wenye akili ni wawili tu nao hata humu huwa hawachangii chochote
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Inaonyesha jinsi unavyowatoa watoto wakoKama mzazi wa kijana kama huyu unajuta bora mbegu zako ungepigia nyeto tu..kuliko kuzaa huu upuuzi.
Hilo nenoUkishajua wachezaji ni wafanyakazi kama wafanyakazi wengine huwezi kuhangaika na wanaohama.
Kalmbe loloUpuuzi mtupu.
Hasa akiwa zamwamwa kama weweInaonyesha jinsi unavyowatoa watoto wako
Acha upuuzi wewe unahamu ya kudinywaHasa akiwa zamwamwa kama wewe
Hiyo profile pic yako inaeleza kila kitu kuhusu wewe..Acha upuuzi wewe unahamu ya kudinywa
Mzee mimi bangi napikia mboga,tena imenifanya naendesha bima,kwahiyo bangi maisha yanguHiyo profile pic yako inaeleza kila kitu kuhusu wewe..
Mimi ni shabiki wa Yanga! Ila sijawahi kuunga mkono upuuzi kama huu.Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,
Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari
na vijana mnavyopenda energy drinks, kama hapo ulipo hauna Azam Energy, basi una Mo Energy... imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Hizo bangi umevuta saa ngapi. Haya ukitoka hapo nenda kanunue andazi za 400 na azam cola 600 ule ukalale.Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,
Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari