APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Walaumu waliokuleta duniani sio bure [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,yani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya azam,yani atakaye pata shida ni azam sio yanga,ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari
Acha upumbavu wewe. DSTV ndio aje aingie mkataba na katimu kamoja? Kwanza mkataba wa matangazo ni WA TFF. Halafu kumbuka hizi ni kampuni mbili tofauti ,football club ni ya mtotoYani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,yani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya azam,yani atakaye pata shida ni azam sio yanga,ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari
Kumbuka wenye akili ni wawili tu na wewe haupo kwenye hao wawili kwa hiyo upo sahihiYani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,yani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya azam,yani atakaye pata shida ni azam sio yanga,ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari
Hata kuangalia mechi ya NBC utatumia DSTV?Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,yani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya azam,yani atakaye pata shida ni azam sio yanga,ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari
Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,yani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya azam,yani atakaye pata shida ni azam sio yanga,ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari
Tutaangalia hata ndondo cup,kwani sio mpira??Hata kuangalia mechi ya NBC utatumia DSTV?
Tatizo lako wewe chawa kazi kushobokea wanaume,nita kudinyaaaBangili hizi si nzuri kabisa
Khaaaa kumbe wewe sidiria,mhh alafu nenda kaoge upo kwenye siku zakoTatizo kubwa Tanzania kuna ujuaji mwingi , halafu vilaza wengi kama huyu jamaa
Mzee chupa ya maji,ya kandoro au uhaiNjoo ule kisinia acha kelele.View attachment 2461354
Akili zenu zinaishia kwenye connection tu ila huwa mnajikuuta!wakati wenye akili ni wawili tu nao hata humu huwa hawachangii chochoteYani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine,yani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya azam,yani atakaye pata shida ni azam sio yanga,ebu imagine yanga wapo wangapi tanzania,alafu wasinunue vitu vya azam jiuliza azam,biashara itayumba tu.
Wamechokoza moto uwiiiiii tupo tayari
Ukishajua wachezaji ni wafanyakazi kama wafanyakazi wengine huwezi kuhangaika na wanaohama.mimi ni Yanga ila huu upumbavu Nishindwe kutumia vitu vya azam eti kisa Fei toto, hawa wanaojiita wazee wa Yanga hicho cheo wamepewa na nani pumbavu zao