Moto unateketeza nyumba Ubungo Kibo muda huu asubuhi ya Agosti 30, 2022

Hapa ndo inaonekana umuhimu wa kupanga ujenzi wa makazi ya watu, nyumba ipo vichochoron hata gari kufika ni ngumu
 
makazi holela, hata jinsi gari ya kupita haiwezekani.
tumezoea kupangwa, sisi wenyewe kujipanga hatujui, matokeo yake wakati wa matatizo tunayaona.

Majirani wasaidie kuzima moto.
90% ya jiji ni squatter ni aibu sana
 
Ubungo ni mjini ila hata chanika imepangika vyema kimipangomiji kuliko hapo.
 
Unaweza kukuta watu wanahuzunika kuhusu kuungua kuwa hii nyumba( kwangu mm haina hadhi ya kuitwa gorofa!) Huku mwenye nyumba akiwa anakula bata sehemu kusubiri malipo ya Bima! Hii naiona kwa jicho la tofauti imekaa kimchongo! Nb- ni mawazo yangu tu.... Share your concerns..
 
Hiyo camp sidhani kama ina bima
 
Unaweza kukuta watu wanahuzunika kuhusu kuungua kuwa hii nyumba( kwangu mm haina hadhi ya kuitwa gorofa!) Huku mwenye nyumba akiwa anakula bata sehemu kusubiri malipo ya Bima! Hii naiona kwa jicho la tofauti imekaa kimchongo! Nb- ni mawazo yangu tu.... Share your concerns..
Kama nakuelewa vile
 
Back
Top Bottom