90% ya jiji ni squatter ni aibu sanamakazi holela, hata jinsi gari ya kupita haiwezekani.
tumezoea kupangwa, sisi wenyewe kujipanga hatujui, matokeo yake wakati wa matatizo tunayaona.
Majirani wasaidie kuzima moto.
Hata hii airport wameshindwa kuiwahi wakati wapo hapohapo tu, au maji yao yanazima ndege tu?Zimamoto wa Bongo
Hiyo camp sidhani kama ina bimaUnaweza kukuta watu wanahuzunika kuhusu kuungua kuwa hii nyumba( kwangu mm haina hadhi ya kuitwa gorofa!) Huku mwenye nyumba akiwa anakula bata sehemu kusubiri malipo ya Bima! Hii naiona kwa jicho la tofauti imekaa kimchongo! Nb- ni mawazo yangu tu.... Share your concerns..
Kama nakuelewa vileUnaweza kukuta watu wanahuzunika kuhusu kuungua kuwa hii nyumba( kwangu mm haina hadhi ya kuitwa gorofa!) Huku mwenye nyumba akiwa anakula bata sehemu kusubiri malipo ya Bima! Hii naiona kwa jicho la tofauti imekaa kimchongo! Nb- ni mawazo yangu tu.... Share your concerns..