Moto unawaka Kiwanda cha Kuzalisha Magazeti ya kampuni ya Mwananchi

Huu moto umewaka kwenye chumba cha Uchapishaji, kwa jicho la kawaida ni kwamba Wachomaji walilenga kuharibu kitu fulani Je, ni kitu gani? Na Je, hilo gazeti la asubuhi lilikuwa na taarifa gani hadi kufanyiwa hujuma.

Namfahamu Machumu, niliwahi kufanya naye kazi mahali fulani, ni mwema sana kwa wafanyakazi wa Mwananchi lakini ni mpambe wa Watawala.
 
Lilichapisha habari za upinzani nadhani......
 
Erythrocyte tunaomba Chama kitoe kauli juu ya ufidhuli wa CCM wa elimu ya katiba miaka 3 kuwa ni janja ya nyani ya kutokubali katiba mpya! Upuzi mtupu, delaying tctics kubaki madarakani kwa kuwa katiba hii inawa favour CCM
 
Subirini kwanza muambiwe chanzo cha moto siyo kukurupuka kuwaza ya kwenu mara bima mara habari ilitaka kusemaje.
Angalia MO alivyopatikana , unataka tusubiri kama hivi ?

-%20KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Unapenda sana KULAANI wengine....usiku huu umetoka KUMLAANI ndugu yetu O.Mtweve....Una moyo wa kipekee [emoji1787][emoji1787]
Sana, maana ni wauaji wa roho na haki za wengine. Yeyote aliyepo CCM ni muuaji. Sawa na apartheid wakati huo, yeyote aliunga mkono apartheid alikuwa MUUAJI
 
Huu moto umewaka kwenye chumba cha Uchapishaji, kwa jicho la kawaida ni kwamba Wachomaji walilenga kuharibu kitu fulani Je, ni kitu gani? Na Je, hilo gazeti la asubuhi lilikuwa na taarifa gani hadi kufanyiwa hujuma.

Namfahamu Machumu, niliwahi kufanya naye kazi mahali fulani, ni mwema sana kwa wafanyakazi wa Mwananchi lakini ni mpambe wa Watawala.
Hapo kwenye upambe hukukosea kitu.

Kwani Bwana Abbas (comical Abbas), na waziri wake Nepi watakuwa wameruhusu gazeti lichapishe habari wasiyoipenda wao? Sidhani.
 
Huu moto umewaka kwenye chumba cha Uchapishaji, kwa jicho la kawaida ni kwamba Wachomaji walilenga kuharibu kitu fulani Je, ni kitu gani? Na Je, hilo gazeti la asubuhi lilikuwa na taarifa gani hadi kufanyiwa hujuma.

Namfahamu Machumu, niliwahi kufanya naye kazi mahali fulani, ni mwema sana kwa wafanyakazi wa Mwananchi lakini ni mpambe wa Watawala.
Kweli, uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo la muhimu kwa serikali ya awamu hii
 
Akili za Napwea hizo!!!!!!!

Mna sahau haraka hamkumbuki wakati wa uchagizi alivyo itumia taasisi kumzuia mshindani wake!!!
 
Back
Top Bottom