Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Vyombo vya habari vya kinafiki,Huu moto umewaka kwenye chumba cha Uchapishaji, kwa jicho la kawaida ni kwamba Wachomaji walilenga kuharibu kitu fulani Je, ni kitu gani? Na Je, hilo gazeti la asubuhi lilikuwa na taarifa gani hadi kufanyiwa hujuma.
Namfahamu Machumu, niliwahi kufanya naye kazi mahali fulani, ni mwema sana kwa wafanyakazi wa Mwananchi lakini ni mpambe wa Watawala.