Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hujui kitu, Shut up!Mbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
Pole sana maumivu makali dikteta uchwara kila kukicha ana mpopoa Dj mstaafu...Hujui kitu, Shut up!
Jamaa umeweka akili mifuko ya nyuma ya suruali 🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔Mbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
🤣Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyooteTaarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
..huwajui wanachama wa CCM weweWananchi wamechoshwa na udikteta wa CCM
Sio sahihi, ni moja ya maeneo ambayo yametoa wabunge wa upinzani. Kule huwa ni kugumu sana kwa CCM.🤣Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyoote
Lissu analindwa na wale jamaa🤔Hujui kitu, Shut up!
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Ilikuwa zamani, haiwezi rudi tena, ndyo maana nasema wako deceptive sanaSio sahihi, ni moja ya maeneo ambayo yametoa wabunge wa upinzani. Kule huwa ni kugumu sana kwa CCM.
Kumekucha, wapi Mzee WasiraTaarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Na wapi watu wa nguvu wa G55? hii movie series ya No R No E inafurahisha sana, any way uchaguzi mkuu utafanyika kwa vyama vitakavyopenda kushiriki, kwa sababu kutoshiriki ni haki yao ya kikatibaKumekucha, wapi Mzee Wasira
Mtwara Kuna wabunge wangapi wa upinzani??, yuko wapi Cecil Mwambe aliyekuwa Chadema? baada ya kutubu, sasa ni mbunge wa CCM.Sio sahihi, ni moja ya maeneo ambayo yametoa wabunge wa upinzani. Kule huwa ni kugumu sana kwa CCM.
Hapo unajinnyea tu umeona hiyo NYOMIMbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!