kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Hao na wa 2020 wapi wengi?Hapo unajinnyea tu umeona hiyo NYOMI
Hao na wa 2020 wapi wengi?Hapo unajinnyea tu umeona hiyo NYOMI
Masasi inazamaTaarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Umepitwa mno na wakati!Mtwara Kuna wabunge wangapi wa upinzani??, yuko wapi Cecil Mwambe aliyekuwa Chadema? baada ya kutubu, sasa ni mbunge wa CCM.
Hawatazuia mafuriko kwa mikonoHii imeenda.
Aisee ni balaaHuu muitikio wa Wananchi ni mkubwa sana na kumbukeni hiyo ni Kusini hebu niambieni Kanda ya Ziwa na Kaskazini ?
Huyu Lyatonga wa zama hizi wakumtisha mtu kweli? Mtu ambae hata mtaani kwake tu akiitisha mkutano hawezi kujaza watu? Tuwe serious basiMbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
Debe tupu.Pole sana maumivu makali dikteta uchwara kila kukicha ana mpopoa Dj mstaafu...
Ngoma imekabiwa juu sana , Dunia inajua sasa kwamba no reforms , hakuna uchaguzi ,maana nyingine no reforms uchaguzi ni batiliNa wapi watu wa nguvu wa G55? hii movie series ya No R No E inafurahisha sana, any way uchaguzi mkuu utafanyika kwa vyama vitakavyopenda kushiriki, kwa sababu kutoshiriki ni haki yao ya kikatiba
🤣dunia gani unayoingelea?? We have your own world, so matawadhibiti G55, vyama vingine pinzani na the Almighty CCM? T.Lissu anawalisha toxic wild cucumbers 🥒, na mme pave the easy way for others against your ideaNgoma imekabiwa juu sana , Dunia inajua sasa kwamba no reforms , hakuna uchaguzi ,maana nyingine no reforms uchaguzi ni batili
Wewe Red Cells, Niambie wewe uliye current, wabunge wangapi wa upinzani wana exit majimbo ya Mtwara??? Si uwataje sasa, or stop your kiddish nonsenseUmepitwa mno na wakati!
Nyomi doesn't translate to loyalty, but imbeciles like u translate as actual votes ,it has always been like that, hao majority hawana kitambilisho cha mpiga kura, we hijui MtwaraHapo unajinnyea tu umeona hiyo NYOMI
🚮Hapo unajinnyea tu umeona hiyo NYOMI
achaga ukengeMbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
mrema na lissu wapi na wapi? Muachage ujingaHuyu Lyatonga wa zama hizi wakumtisha mtu kweli? Mtu ambae hata mtaani kwake tu akiitisha mkutano hawezi kujaza watu? Tuwe serious basi
Reality ni ukenge??, we ni manic schizophrenic, omba msaada , kwa knowledge ya kawaida u can't change the status quo, pls support the poweful ChADEMA 55, hao ni legit and saviour'sachaga ukenge
we ni mpiga zumari tu unayejitoa ufahamu hata kwa mambo halisi tuReality ni ukenge??, we ni manic schizophrenic, omba msaada , kwa knowledge ya kawaida u can't change the status quo, pls support the poweful ChADEMA 55, hao ni legit and saviour's