Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Kampeni nzuri lakini Lissu anaibomoa Chadema.
Pole sana maumivu makali dikteta uchwara kila kukicha ana mpopoa Dj mstaafu...
Mmawia alikuwepo??? Huko ndio kwao.Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
OK, kuna wabunge wangapi wa upinzani??
Sijui loloteMmawia alikuwepo??? Huko ndio kwao.
Au ametekwa!!!
Propaganda za ccm nchii hii ni za kitoto.🤣Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyoote![]()
Mbona unafuatilia inaonyesha wewe ndio huna utimamu wa akili utapa tabu sana....Hujawahi kuwa na akili, wala hujawahi kuandika hoja ya kuashiria una utimamu wa akili.
Safi maana unakiri tayari kuna vibe🤣Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyoote![]()
Hakuna safari ndefu hata oil au gas isiishe kwenye chombo,ccm ipo kwa ajiri ya madaraka tuu na kutesa wananchi au,hivi mnatuonaje kuwa sisi hatujui vitu Bora na maisha Bora au nia aje mura.Mbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
Wewe ni mlamba asali,njoo mtaani uone watu walivyochoka no real plan at all.Pole sana maumivu makali dikteta uchwara kila kukicha ana mpopoa Dj mstaafu...
Kwani na wewe na ccm yako iliyoshindwa kuhudumia wananchi inajificha kwenye mikopo umiza nanani zaidiHao na wa 2020 wapi wengi?
🤣Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyooteMaumivu makali maandishi yanajieleza
Safi maana unakiri tayari kuna vibe
Kumbe hujaelewa, okay subiri matokeo ya uchaguzi ndyo utaelewaSafi maana unakiri tayari kuna vibe
Na G55 ni CCM made? "No reform No election" is the most childish project, only insane folks cant comprehend itPropaganda za ccm nchii hii ni za kitoto.
Unarejea uchaguzi wa 2020 itakuwa Huwa akili!Mtwara Kuna wabunge wangapi wa upinzani??, yuko wapi Cecil Mwambe aliyekuwa Chadema? baada ya kutubu, sasa ni mbunge wa CCM.
Huko ccm watu vichwa wanatumia kufugia nywele. Hata wanajifanya hawaelewiHiyo ndiyo hoja ya No reforms No Election. Uchaguzi huwa unaibwa wote na CCM kwa kutumia mfumo dhaifu wa kiuchaguzi unaolindwa na CCM kwa kutumia dola na tume ya uchaguzi.
Ila kampeni nzuri? Basi acha ibomoke tu kwa style hiiKampeni nzuri lakini Lissu anaibomoa Chadema.
Mikoa ambayo jamii hazija develop, kuelimika inakuwa rahis sana ccm kuwadaka. Wanajua sababu ni washamba, kanga , tshert na wakiwaletea wasanii wameshauza kura🤣Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyoote![]()
😅😅Unarejea uchaguzi wa 2020 itakuwa Huwa akili!
Halafu mataahira ya CCM yanabana pua eti Chadema imekufa.Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954