PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unarejea uchaguzi wa 2020 itakuwa Huwa akili!
ni haki yenu ya kikatiba kuwa na mawazo mbadala, na its your choice NOT to participate in general election, vyama vingine hata kiwa kimoja cha upinzani uchaguzi hauta ahirishwa,
 
Mikoa ambayo jamii hazija develop, kuelimika inakuwa rahis sana ccm kuwadaka. Wanajua sababu ni washamba, kanga , tshert na wakiwaletea wasanii wameshauza kura
😀😀we ndyo umeelimika lakini unapambana na impossibles, jiunge na G55
 
Mikoa ambayo jamii hazija develop, kuelimika inakuwa rahis sana ccm kuwadaka. Wanajua sababu ni washamba, kanga , tshert na wakiwaletea wasanii wameshauza kura
G55 nao hawajaelimika? mi naonal wako very rational
 
Imeaona wapi napambana nao? Kwamba viongoz wa cdm huwaoni? Waandikie barua
bora ya G55 yenu, wengine ni wafukuza upepo tu, ila imekaa vizuri, migogoro yenu uchwara inaiweka CCM for life:3Dance:
 
G55 wanafanya kampeni? Ni chama kinachojitegemea? Wamewahi kugombea huko?
Weka some logic basi?
who is sane kati yenu na G55, internal conflict zenu zitafanya CDM iwe impotent and infertile party:RUNNING:
 
bora ya G55 yenu, wengine ni wafukuza upepo tu, ila imekaa vizuri, migogoro yenu uchwara inaiweka CCM for life:3Dance:
Dont include me kwenye kundi lolote, you dont know me.
So watafute wahusika wapelekee ujumbe
 
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.

Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo

Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo

View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Ni sawa, lakini kwa namna ulivyoandika ninajenga swali:kusema 'unaambiwa' inamaa nawe umezipata habari hizo kutoka kwa mtu mwingine!

Je wewe mkuu upo kwenye msafara wa kiongozi gani katika hiyo kampeni?
 
.. WATU wa mkoa wa Mtwara wako hivyo, wana join kila mkusanyiko/Kila VIBE la mtaani, lakini huwa wanaichagua CCM.
 
Back
Top Bottom