Tutolee kingreza chako Cha ugoko apa umeshupalia deceptive sijui ndiyo madude gani hayo??Ilikuwa zamani, haiwezi rudi tena, ndyo maana nasema wako deceptive sana
Usiwasemee wamakonde Hawa wanajua nini wafanye kwa wkt sahihi
Tutolee kingreza chako Cha ugoko apa umeshupalia deceptive sijui ndiyo madude gani hayo??Ilikuwa zamani, haiwezi rudi tena, ndyo maana nasema wako deceptive sana
G55 wametumika kwa mbinu za kizamani mno. Katika kitu cdm imefanikiwa ni kuwa na wafuasi wengi waelewa. Tatizo lao dogo ni uoga, wakifanikiwa kuushinda uoga watafika mbali. Hizo propaganda za hivyo zinawateka wafuasi wa ccm zaidi, hao ndio huwa wanatekwa na propaganda rahisi hivyo.Mbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
CCM mbona mnapenda kufuru sana. Tangu lini CCM imekuwa ni "Almighty"?🤣dunia gani unayoingelea?? We have your own world, so matawadhibiti G55, vyama vingine pinzani na the Almighty CCM? T.Lissu anawalisha toxic wild cucumbers 🥒, na mme pave the easy way for others against your idea
Kwa uchaguzi huu, kuwa na mbunge sehemu fulani hasa wa ccm huwezi kusema ni kukubalika. Chaguzi zetu zinafahamika mshindi anatangazwaje na sio kwa kura za wananchi.Mtwara Kuna wabunge wangapi wa upinzani??, yuko wapi Cecil Mwambe aliyekuwa Chadema? baada ya kutubu, sasa ni mbunge wa CCM.
Hiyo ndiyo hoja ya No reforms No Election. Uchaguzi huwa unaibwa wote na CCM kwa kutumia mfumo dhaifu wa kiuchaguzi unaolindwa na CCM kwa kutumia dola na tume ya uchaguzi.Jamaa wanajaza mikutano ila kwenye matokeo ya ochaguzi hatujui hizo kura znaenda wapi
Niambie wapi kuna wabunge wa upinzani kwa sasa?Mtwara Kuna wabunge wangapi wa upinzani??, yuko wapi Cecil Mwambe aliyekuwa Chadema? baada ya kutubu, sasa ni mbunge wa CCM.
Refa kabeti😅😅Hiyo ndiyo hoja ya No reforms No Election. Uchaguzi huwa unaibwa wote na CCM kwa kutumia mfumo dhaifu wa kiuchaguzi unaolindwa na CCM kwa kutumia dola na tume ya uchaguzi.
Ndio maana Chadema inadai Reforms ili kura zao zihesabike kwa hakiJamaa wanajaza mikutano ila kwenye matokeo ya ochaguzi hatujui hizo kura znaenda wapi
Hahahahaha, Daaah hii nimeipenda, nanunua T-shirt kaliii naipiga print yake, hope itauza sana TZRefa kabeti😅😅
🐷🐷🐷Mbona huo moto unaibabua chadema yenyewe G55 imemkondesha dikteta uchwara na lema kwa siku moja tu!
Hao paka wanaojiita sijui g55 wajaribu kuuchezea moto wa umma waungue.Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Unilipe mkuu wazo ilo utatajirika sana😅😅Hahahahaha, Daaah hii nimeipenda, nanunua T-shirt kaliii naipiga print yake, hope itauza sana TZ
Kwa uchafuzi wa 2020 ndio ulitaka mtwara atoke mbunge wa upinzani au unaropoka tu? 2015 jimbo la ndanda,jimbo la tandahimba,jimbo la mtwara mjini na halmashauri ya newala ilikuwa chini ya upinzani tena jimbo la newala lilichekesha mno kwasababu 90% ya madiwani walikuwa wa chama cha pinzani ila mzee mkuchika akashinda...na 2020 alishindwa mzee mkuchika dhidi ya mgombea wa chadema ila akajitangaza mwenyewe NB jimbo la mtwara vijijini kwasasa lipo chini ya mbunge wa CUFMtwara Kuna wabunge wangapi wa upinzani??, yuko wapi Cecil Mwambe aliyekuwa Chadema? baada ya kutubu, sasa ni mbunge wa CCM.
Unajuwa watu tunakuchora tu, mwambie mama yako kuwa hatumtaki, akajenge hiyo misikiti yake ufukweni Zanzibar si hapa bara. Huku tuunakula hata wakati wa mfungo na hatutaki aje mwehu atulazimishe kukataa kula wakati raha ni zetu wenyewe.Pole sana maumivu makali dikteta uchwara kila kukicha ana mpopoa Dj mstaafu...
So sasa wako wapi, hata wao wankushangaa, hujanujibu leo kuna wabunge pinzanin wangapi mkoa wanMtwara?Kwa uchafuzi wa 2020 ndio ulitaka mtwara atoke mbunge wa upinzani au unaropoka tu? 2015 jimbo la ndanda,jimbo la tandahimba,jimbo la mtwara mjini na halmashauri ya newala ilikuwa chini ya upinzani tena jimbo la newala lilichekesha mno kwasababu 90% ya madiwani walikuwa wa chama cha pinzani ila mzee mkuchika akashinda...na 2020 alishindwa mzee mkuchika dhidi ya mgombea wa chadema ila akajitangaza mwenyewe
Wanajulikana mkuu..huwajui wanachama wa CCM wewe
🤣Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyoote![]()
..kusini ni ngome ya Act na Ccm.
OK, kuna wabunge wangapi wa upinzani??..kusini ni ngome ya Act na Ccm.