PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni sawa, lakini kwa namna ulivyoandika ninajenga swali:kusema 'unaambiwa' inamaa nawe umezipata habari hizo kutoka kwa mtu mwingine!

Je wewe mkuu upo kwenye msafara wa kiongozi gani katika hiyo kampeni?
Maandishi yana Nahau na Methali
 
Kwamba kote huko tulikopita ni Mtwara tu?
Okay, basi mtashinda uchaguzi, the next president shall be Hon T.A.Lissu :Crab: endeleeni kupambana watu wabadi, against G55, CCM and other political parties
 
Okay, basi mtashinda uchaguzi, the next president shall be Hon T.A.Lissu :Crab: endeleeni kupambana watu wabadi, against G55, CCM and other political parties
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
..na Mungu ndyo wewe huyo na CDM yako,.okay next president ni Hon.T.A Lisu, are u okay now?, nimekubaliana na wewe, ushindi wa kishindo na majimbo kama yoote kwa CDM
 
Wewe kichwani hamupo sawa nimekujibu mbunge wa mtwara vijijini ni mpinzani
..okay ni kajimbo kamoja tu, basi nimekubali mnahaki ya kususia uchaguzi, and this time ni zamu ya CDM kuchukua nchi, GOD belongs to people's power a.ka CHADEMA, kazeni but you will get there@ white house na majimbo kama yoote ni yenu :nymnCorn:
 
Wewe kichwani hamupo sawa nimekujibu mbunge wa mtwara vijijini ni mpinzani
Ni kweli kichwani sinazo, sorry kwa kukukwaza, nyie wenye Anencephaly mko very gifted, tusubiri mkao wa kula na T.A.Lisu state house DODOMA #Pipozi Pawa :DoctorPls:
 
..na Mungu ndyo wewe huyo na CDM yako,.okay next president ni Hon.T.A Lisu, are u okay now?, nimekubaliana na wewe, ushindi wa kishindo na majimbo kama yoote kwa CDM
No Reform No Election
 
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.

Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo

Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo

View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa 😂😂😂😂, waulizeni Wakorintho au Waebrania 😂😂
1744120046674.jpg
 
Back
Top Bottom