PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, waulizeni Wakorintho au Waebrania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚View attachment 3296984
Kazeni buti, this time mnachukua nchi, Masasi ni mwitikio elekezi, you're almost inside the state house
 
Kweli unamsililiza mtu kama Mrema kweli?
Sikujua kuwa werevu CDM mko wachache sana, okay tunampuuzia sasa. Pipozi pawa mnachukua nchi hata mkisusia uchaguzi, wananchi wata chukua hatua i.e pipozi pawa will be effected to the fullest
 
Kwanini CCM wanaogopa Free and Fair Election sote tunajua Uharo debe kwasababu wanajua tunawanyang'anya majority Bungeni hata na Samia tunamrudisha Kizimkazi.
 
Kwanini CCM wanaogopa Free and Fair Election sote tunajua Uharo debe kwasababu wanajua tunawanyang'anya majority Bungeni hata na Samia tunamrudisha Kizimkazi.
Yah, this time wananchi white house wanawapa CDM
 
Sisi Wapenda HAKI na Demokrasia tunataka tupewe HAKI zetu za KIKATIBA za KUCHAGUA VIONGOZI TUWATAKAO.
Fight the fight and u will get there @ DODOMA white house, infact u'r almost to the destination
 
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.

Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo

Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo

View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Hivi haiwezekani kuizuia hii mikutano kama alivyofanya jiwe?. Maana hii ni fedheha aisee!
 
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.

Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo

Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo

View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954

Let it be !!
It will be, and u have no miracles to reverse the erection election
 
Back
Top Bottom