Kazeni buti, this time mnachukua nchi, Masasi ni mwitikio elekezi, you're almost inside the state houseNani aliwahi kujibiwa Waraka? Paulo mwenyewe aliandika kwa Wagalatia mpaka Leo hajawahi kujibiwa ππππ, waulizeni Wakorintho au Waebrania ππView attachment 3296984
Sikujua kuwa werevu CDM mko wachache sana, okay tunampuuzia sasa. Pipozi pawa mnachukua nchi hata mkisusia uchaguzi, wananchi wata chukua hatua i.e pipozi pawa will be effected to the fullestKweli unamsililiza mtu kama Mrema kweli?
Ofcourse kwa bahati nzuri the few gifted with highest IQ wako kwa "pipozi pawa"Nchi hii ina wajinga wengi sana. Na ndio kikwazo cha mabadiliko.
mazoea mabaya sanaπ€£Mtwara ni very deceptive, wanapenda sana any kind of vibe , come election utakuwa surprised to the core, hawa ni wapugakura kindakindaki wa CCM na wanahudhuria vibe la vyama vyoote
..nimeanza kuwaelewa, imagine TAL in state house 2026, hii nchi itakuwa ni ya milk and honeyNo Reform No Election
Okay, oh sorry this time wananchi wanewaelewa sana, ndyo maana ya nyomi za kura I.e anticipated victory, this time kwa nyomi ya pipo, victory is obvious, CDM to state housemazoea mabaya sana
Yah, this time wananchi white house wanawapa CDMKwanini CCM wanaogopa Free and Fair Election sote tunajua Uharo debe kwasababu wanajua tunawanyang'anya majority Bungeni hata na Samia tunamrudisha Kizimkazi.
Sisi Wapenda HAKI na Demokrasia tunataka tupewe HAKI zetu za KIKATIBA za KUCHAGUA VIONGOZI TUWATAKAO.Yah, this time wananchi white house wanawapa CDM
Fight the fight and u will get there @ DODOMA white house, infact u'r almost to the destinationSisi Wapenda HAKI na Demokrasia tunataka tupewe HAKI zetu za KIKATIBA za KUCHAGUA VIONGOZI TUWATAKAO.
Usilie, Nothing lasts longerYah, this time wananchi white house wanawapa CDM
ExactlyUsilie, Nothing lasts longer
Hivi haiwezekani kuizuia hii mikutano kama alivyofanya jiwe?. Maana hii ni fedheha aisee!Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
Inasemekana wanapanga hivyoHivi haiwezekani kuizuia hii mikutano kama alivyofanya jiwe?. Maana hii ni fedheha aisee!
Haya nasisi tunaingia kwenye uchaguzi ccm wanashinda kwa 99.1% kidumu chama cha mapinduzi.Sikujua kuwa werevu CDM mko wachache sana, okay tunampuuzia sasa. Pipozi pawa mnachukua nchi hata mkisusia uchaguzi, wananchi wata chukua hatua i.e pipozi pawa will be effected to the fullest
Ukisikia jina la LISSU tu unaanza kuhara.Pole sana maumivu makali dikteta uchwara kila kukicha ana mpopoa Dj mstaafu...
Ahsante nimepona baada ya kunawa,haya let's go!Haya nenda kanawe uso!
Let it be !!G55 and CDM HUSTLERS are deliberately causing irreversible party split, this will be very healthy for CCM
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo
Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa Somo hilo
View attachment 3295952View attachment 3295953View attachment 3295954
It will be, and u have no miracles to reverse theLet it be !!