Moto waiteketeza nyumba ya bibi Maria Kaudidi Rombo, Mbunge Mkenda aisaidia familia

Moto waiteketeza nyumba ya bibi Maria Kaudidi Rombo, Mbunge Mkenda aisaidia familia

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika.

Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu ya March 3,2025 ambapo uliteketeza Mbuzi 7, Kuku pamoja na Bata Mzinga.

Kufuatia tukio hilo, Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda amekabidhi Msaada wa Vyakula pamoja na Magodoro, Mablanketi, Godoro kwaajili kwa familia hiyo huku akiwaomba wadau mbalimbali kujitokeza kuisaidia familia hiyo.

 
Uko nako huwa kuna maskini mi nazan wachaga wote matajiri
 
Back
Top Bottom