Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ule ni mpango wa serikali hiyo ipo wazi lile eneo lilikuwa linaangaliwa muda mrefu sana kutokana na soko la East Africa kujengwa pale pote baada ya muda wanaporomosha magorofa ya flame ambapo wamiliki wa mwanzo wataaambiwa wakae miezi 6 bure then wataanza kulipia.
Hilo lipo wazi lile eneo wanataka kulibadilisha kuwe na magorofa ya flame kama Kariakoo walivyofanya
Ukitaka kuamini hilo subirini muje muambiwe sababu za moto watawaambia hitilafu ya umeme