Hao Machinga wote na wengi Dar es Salaam wameweka biashara zao kwenye njia za waenda kwa miguu “Pedestrian walk way”
Hakuna hata mmoja alikua anafanya kazi kwenye “Official Location” mwingine amefika mbali kusema wanamikopo, walipwe
Hivi kuna Bank inamjopesha mtu asie na
TIN ya Biashara
Leseni ya Biashara
Tax Clearance na
Mkataba wa Pango
Kama kuna machinga amekata insurance atalipwa,
Uwepo wa Machinga kwenye Njia za waenda kwa miguu ni kero kubwa mno
Mpaka unajiuliza inamaana Dar inatengenezwa kwa sisi waenda kwa miguu tupite Njia za kupitisha Motor Vehicle?
Nitashangaa sana Wakirudi kuendelea kufanya bishara hapo sehemu isiyo halali