BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024.
Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa na 14 kujeruhiwa. Tunachunguza sababu na kuchukua hatua zinazohitajika,”
Taarifa zaidi imeeleza kuwa Wanafunzi 15 walifariki ndani ya Bweni, mmoja amefariki wakati akipelekwa Hospitali. Aidha, inadaiwa miili mingine inaweza kuongezeka wakati utafutaji ukiendelea.
At least 16 pupils have been confirmed dead at Hillside Endarasha Academy in Kieni, Nyeri, following a fire tragedy last night.
National Police Service Spokesperson Resila Onyango has confirmed to the Star the incident. She said 14 other students sustained injuries.
“We have 16 pupils dead and 14 injured. We are investigating the cause and take necessary action,” she said. One of the dormitories housing the students was razed down killing the 16.
15 of them are said to have been confirmed dead at the scene while one died while being rushed to the hospital.
There are fears that more bodies are likely to be recovered once the scene is fully processed.
Deputy Director DCI John Onyango, Senior Assitant IG and Director Homicide Unit and NPS Disaster Management Unit are on their way heading to the school. The scene has been preserved awaiting the homicide team.
All response teams were sent to the scene to help the situation. Parents and guardians of the pupils have also been alerted.
THE STAR/ CITIZEN DIGITAL