Moto wazuka kanisani Misri, 41 wafariki

Mbona Mimi nimesoma tofauti kwenye chanzo kingine cha kuaminika kwamba ilikuwa ni hitirafu/itirafu /itilafu (sijui neno sahihi)ya umeme na kanisani kulikuwa na waumini zaidi ya 5000.Pia watu walikanyagana sn mlangoni

Alafu watu wenye mihemko mmetanguliza chuki dhidi ya waislamu,sijui wakristo tuna tatizo gani mida mwingine asee[emoji848]..Hata km chanzo ni bomu,yoyote anaweza kufanya huo uhalifu..tuwe +ve mazee,tusisambaze chuki
 
Waislamu hata Kama tukafanyi nini still dunia na watu wake watatuona watu wabaya. Kila kitu kibaya kinahusishwa na uislamu, magaidi ni waislamu, wachawi ni waislamu, kuingiliana kinyume na maumbile ni waislamu. Ulimwengu ushaaminishwa kuwa uislamu ni threat kwa dunia na haupaswi kuexist.
 
Au siyo?
 
^hitilafu^

Povu watu wanatokwa because wanaujua msimamo wa Uislamu ulivyo hatari kwa usalama wa dunia. Angalia hata hapo Zenj tu!
 
Wakristo hasa hao Coptic,wapo hapo tokea karne ya 16,Sasa iweje leo Ndiyo wewe maadui?
 
kama umeangalia picha za mleta mada utagundua huo sio moto bali ni mlipuko mkubwa.

ni mawazo yangu lkn.
 
Na bado utaendelea kuwepo hata wafanyeje uislamu utaendelea kuwepo
 
Atakutana na demu mwenye tako la futi 40 yaani zile rula za shuleni uzipime Kama 40 zifike Ni sawa na 12M. So ngono Ni big deal Sana kwetu sie wafia dini.
Kama Hawa jamaa walivyokufa kanisani Ina mana kweli ndio Mungu akaamua kifo Chao kwa dizaini iyo ama.
Ila dunia twapita sote tuiache
Unaambiwa mtu akiua hivi kwa ajili ya huyo mungu wao, ndipo anapanda hadhi kule peponi!
 
Mtoa mada una mambo ya kijinga unataka kuleta mtafaruku baina ya watu hyo ni shoti ya umeme .. Achaga kabisa kuleta mtafaruku baina ya watu na hata hao kama ni bomu hapo uislamu hausiki ng'o ni roho zao kivyao
 
Mkuu tatizo kwenye kitabu cha Quran kuna aya kadhaa zinazohamasisha kumbagua na hata kuua mtu wa dini ingine. Hapo ndo chanzo cha tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…