Moto wazuka kanisani Misri, 41 wafariki

Moto wazuka kanisani Misri, 41 wafariki

Tunaweza sema ni waislamu kumbe Kuna shida nyingine.Sema basi TU,sijui huu utengano wa mkristo na mwislamu sijui unatoka wapi maana ukiangalia tunaempigania na kumwabudu ni Mungu mmoja. Hii Dunia tunakoelekea😭😭😭😭
 
Hao jamaa hawako kidini na wala hawajui dini kabisa !! Wana maslahi yao binafsi haswa ya kiutawala na pia wapo wanao maliza wenzao hata msikiti hawajui in short bado Kuna political instability nchini mwao except saud arabia
 
Bomu la kutupwa kwa mkono (hand grenade) haliwezi leta madhara makubwa hivyo. Linaleta blast sio burning
Donnie Charlie soma hii comment nadhani hapa pengine Utakubali /utaamini..alafu nimekuwekea na chanzo cha uhakika,au wewe Reuters hauwaamini?

Chanzo cha Moto ni umeme siyo bomu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
An electrical fire broke out as 5,000 worshippers gathered for Mass at the Coptic Abu Sifin church, security sources told Reuters.
 
Unaambiwa mtu akiua hivi kwa ajili ya huyo mungu wao, ndipo anapanda hadhi kule peponi!
Ni ujinga unaopitiliza.
That's why naona madogo asilimia fulani hawapelekwi skuli wanashinda madrassa wakifundwa na elimu ahera huku dunia ikiachwa.

Sasa dogo anakuwa akijua unapoUA binadamu wasio Imani yako unaenda binguni direct unadhani hata umweleze kwa kugha gani hawezi kukuelewa coz toka anakua kishaambiwa tofauti na lako.
 
Waislamu hata Kama tukafanyi nini still dunia na watu wake watatuona watu wabaya. Kila kitu kibaya kinahusishwa na uislamu, magaidi ni waislamu, wachawi ni waislamu, kuingiliana kinyume na maumbile ni waislamu. Ulimwengu ushaaminishwa kuwa uislamu ni threat kwa dunia na haupaswi kuexist.
Usijali, Uislam umekuja juzi TU duniani hapa ..na utapita kama vile kila kitu duniani hapa kinapita TU.
Uislam ni dini kama zingine TU, Tofauti kuu ya Uislam ni dini pekee ambayo inaendeshwa Kwa vitisho na mtu akihama anauliwa
 
Punguza chuki na ujinga kipara kama busha tafuta Uzi wako ulete meneno yako kama haya sio kuattack sehemu hazihusiani

Ndio watasoma madrasa kama unataka vita sema ... Unachoambiwa huelewi tangaza vita basi uone .. haya washaua njoo ushambulie uislamu na waislamu kama wazazi wako hawatokuzika kesho
Ni ujinga unaopitiliza.
That's why naona madogo asilimia fulani hawapelekwi skuli wanashinda madrassa wakifundwa na elimu ahera huku dunia ikiachwa.

Sasa dogo anakuwa akijua unapoUA binadamu wasio Imani yako unaenda binguni direct unadhani hata umweleze kwa kugha gani hawezi kukuelewa coz toka anakua kishaambiwa tofauti na lako.
 
Punguza chuki na ujinga kipara kama busha tafuta Uzi wako ulete meneno yako kama haya sio kuattack sehemu hazihusiani

Ndio watasoma madrasa kama unataka vita sema ... Unachoambiwa huelewi tangaza vita basi uone .. haya washaua njoo ushambulie uislamu na waislamu kama wazazi wako hawatokuzika kesho
Mufti pole sana naona message delivered!.
 
Hebu tupe hata source kidogo isije ikaleta chuki miongoni mwetu...Kama ni kweli wamefanya hivyo na walaaniwe kabisa ila Kama ni habari ya uongo Basi omba radhi/msamaha kwa kusingizia upande fulani..
 
Samahani ndugu zangu wakristo kama nitakuwa nawakosea, lakini naamini muko na shida somewhere. Kuna kipindi Haji Manara alisema yanga wote vichwani hamna kitu ukiacha mzee kikwete na baba yake Sande Manara. Me nadhani kwa kiwango kikubwa wakristo nao kama akili zao haziko sawa hivi(sio wote).

Achilia mbali yale wanayofanyiwa kanisani Kama kunyweshwa jiki, wanawake kuvuliwa nguo, kuigiza kuwaona malaika, kuigiza kutoa mapemo na maigizo mengine (infact siwezi nikalizungumzia Hilo kwa sababu hiyo ni imani yao)

Nimegundua baadhi yenu mna chuki kubwa sana mioyoni mwenu. Fanya suryey humuhumu jamiiforums utagundua hawa watu sio poa, alafu utasikia dini yetu ni ya upendo na amani nawakani wamehifadhi chuki kubwa katika nyoyo zao, UNAFIKI.

Ikitokea labda mtu kabaka au kalawiti, Kama huyo mtu ana jina tu la kiislamu basi utasikia ostadhi/sheikh kabaka/kalawiti hata Kama ni mlevi na yupo mbali na sifa za uislamu. Ni Kama uislamu unatafutiwa makosa hivi.

Hivi ni kweli wakristo hawafanyi hayo matukio? Angalia makasisi wanavyonajisi watoto kila siku, mbona sisi hatusemi kuwa hayo ni ukristo? Ni udhaifu tu wa mtu.

Siku zote waislamu ni reactive tu, ndio hiko hivyo. Hatuanzishagi ugomvi bali tunareact tu. Angalia hata kwenye hi post tunajibu matusi yao na fuatilia threads nyingi humu jf, lakini always sisi ndio tunaoneka wakorofi.

Utasikia eti waislamu magaidi, kitu ambacho ni propaganda zilizotengenezwa na wazungu. Ni ujinga wa kutofuatilia tu. Haya makundi yanayojiita ya kiislamu yanafanya mambo kinyume na uislamu. Yaani sisi tunasema haya makundi yako kinyume na mafundisho ya dini ila nyinyi mnapinga na kusema ni mafundisho ya uislamu. Ni ajabu kuwa mnafahamu uislamu kuliko waislamu wenyewe.

Ngoja niwape somo kidogo, haya makundi yameanzishwa kwa lengo maalumu, ni wahuni tu wenye masilahi yao ya kidunia na wanapata faida kubwa kwa kutumia mgongo wa uislamu. Hata Marekani na nchi nyengine za magharibu wanafaidika na makundi haya. Jiulize vifaa vya kivita wananunua wapi? Magari na vitu vingine? Jiulize kwa teknolojia aliyokuwa nayo nchi kama Marekani wanashindwa kuangamiza vikundi hivyo? Actually it is an overnight process. Nchi Kama Russia wanatumia nguvu nyingi kuishambulia Ukraine, kwanini isiekekeze nguvu zake kuangamiza ugaidi.

Wanaoathirika na huu ugaidi ni waislamu zaidi, angalia Somalia, iraq, Afghanistan na kwengineko.

Kama nature ya uislamu ni kuuana, then angalia nchi yetu Tanzania, kwani hakuna waislamu, mbona tunaishi vizuri, Tena tumewapangisha Hadi na nyumba nanyi mmetupangisha nyumba zenu, hizi chuki zinatoka wapi, haya matusi yanini.
 
Usikute Waumini badala ya kujiokoa walianza kukemea "toka pepo" [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mungu wa mbingun alikuwa kanogewa usingizi baada ya kunywa maji ya uzima wakat huo makondoo yake yanaangamia ndani ya nyumba yake ya ibada.

Mpaka sasa huwa sielewi huyo Mungu wajibu wake ni upi kwa watu wake kama wanaangamia kipumbavu namna hii, basi hata hao maelfu ya malaika huko mbinguni ni USELESS maana hawafanyi majukumu yao kuja kuwaokoa makondoo huku dunian.

Bora hata dini za mababu now wangeshapata tahatifa mapema kabla ya accident[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom