Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Moto usiothibitishwa chanzo chake umewaka ndani ya benki ya Nmb Morogoro.
Moto huo wa ajabu inasemekana ulikuwa unasaka makasha yenye pesa ili uyaunguze na km unavyoona kwenye hiyo video fupi tayari unamhangaisha askari moto kuuzima kibabe ilhali wenyewe ungali na hamu na kuunguza hela 😄!
Nb: watani zangu Waruguru punguzeni...