Waliokuwepo kipindi jamii forums inaanza wakirudi humu machoz yatawatoka.
Wamerudi shamba baada kugundulika wanatumia vyeti feki .Hawana hela ya bundleWaliokuwepo kipindi jamii forums inaanza wakirudi humu machoz yatawatoka.
machozi yakiwatoka watakuwa ni vichaa wa kufungwa kamba na basi nut zao za kichwa zitakuwa zimepotea..Waliokuwepo kipindi jamii forums inaanza wakirudi humu machoz yatawatoka.
Hasa Ney hujaelewa nini hapo?Mkuu sijaipata pointi yako asee
Kadisiwa joh ww inakuuma nnsiegemei pande yoyote hapo.......lkn young killer hapo kati alipotea ziii.....ikabidi aje ngoma ya "sina swaga"......ndani yake kadiss washkaji kibao na kujikweza vya kutosha.......hakuna aliyemkoromea......lkn yeye kaguswa kucha tu bs ndo anaruka kama kakanyaga kaa la moto bhana
Sasa Young Killer kwanini anapanic kudisiwa wakati yeye mwenye huwa anadis wenzake??Kadisiwa joh ww inakuuma nn
Ungekuwa kweli unafatiliaga game la hip hop usingeuliza swali la kijinga namna hiyo mcha__mbuziSasa Young Killer kwanini anapanic kudisiwa wakati yeye mwenye huwa anadis wenzake??
Umekimbilia huku? Unaitwa kule kwenye uzi wa Remy Ma, umalizie kutoa majibu ya maswali uliyoulizwa, eti Remy ma akipata "ufalme wa hiphop" ufalme wake unaitwaje kwa kimombo?Ungekuwa kweli unafatiliaga game la hip hop usingeuliza swali la kijinga namna hiyo mcha__mbuzi
Ungekuwa kweli unafatiliaga game la hip hop usingeuliza swali la kijinga namna hiyo mcha__mbuzi
Hivi "hiphop" ni nini eti?Nay ni mtafuta kiki tuu