"Moto" ya Nay wa Mitego imezimwa ghafla na "True boya" ya Young killer Msodoki

"Moto" ya Nay wa Mitego imezimwa ghafla na "True boya" ya Young killer Msodoki

Umekimbilia huku? Unaitwa kule kwenye uzi wa Remy Ma, umalizie kutoa majibu ya maswali uliyoulizwa, eti Remy ma akipata "ufalme wa hiphop" ufalme wake unaitwaje kwa kimombo?
Akili ndogo ndo tatzo linalotusumbua wabongo......nikupe mfano nchi zinazotawaliwa kifalme ikitokea mtawala akawa mwanamke iyo nchi itaitwaje
 
Akili ndogo ndo tatzo linalotusumbua wabongo......nikupe mfano nchi zinazotawaliwa kifalme ikitokea mtawala akawa mwanamke iyo nchi itaitwaje
Kwani hapo hawali ilikuwa inaitwaje?
 
Young killer ameluka luka tu Ila Ney kaimba vizuri sana
 
Ingia kwa kamusi utafute maana ya neno ufalme ndo urudi hapa
Mbona unaruka ruka, kama una majibu si uyaweke bayana ijulikane. Maswali mepesi ujuaji mwingi mpaka unaanza kutoka nje ya mstari.
Kwani BET wanapokuwa wanawataja wanaogombea tunzo na vipengele vyake, wnakuwa wanataja ni mfalme au inakuwaje hapo? Au ufalme huo umempa wewe na familia yako?
 
"Ahaha hahahahahahaha nikianzaga hivi watu huwa wanashtuka hao"
 
Back
Top Bottom