Akili ndogo ndo tatzo linalotusumbua wabongo......nikupe mfano nchi zinazotawaliwa kifalme ikitokea mtawala akawa mwanamke iyo nchi itaitwajeUmekimbilia huku? Unaitwa kule kwenye uzi wa Remy Ma, umalizie kutoa majibu ya maswali uliyoulizwa, eti Remy ma akipata "ufalme wa hiphop" ufalme wake unaitwaje kwa kimombo?
Kwani hapo hawali ilikuwa inaitwaje?Akili ndogo ndo tatzo linalotusumbua wabongo......nikupe mfano nchi zinazotawaliwa kifalme ikitokea mtawala akawa mwanamke iyo nchi itaitwaje
Ingia kwa kamusi utafute maana ya neno ufalme ndo urudi hapaKwani hapo hawali ilikuwa inaitwaje?
Mbona unaruka ruka, kama una majibu si uyaweke bayana ijulikane. Maswali mepesi ujuaji mwingi mpaka unaanza kutoka nje ya mstari.Ingia kwa kamusi utafute maana ya neno ufalme ndo urudi hapa
Nje ya mstariMbona unaruka ruka, kama una majibu si uyaweke bayana ijulikane. Maswali mepesi ujuaji mwingi mpaka unaanza kutoka nje ya mstari.
inaniuma kucha.......soma kitu uelewe.Kadisiwa joh ww inakuuma nn
Naona umepanicinaniuma kucha.......soma kitu uelewe.