Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! hii ndio qualification? Hana usalama sana kwa laps za mwanzo, kwani kuna VR naye ana hasira sana ya kushinda japo race moja this season! Pedrosa naye anaweza kusumbua laps za mwanzo, bila kumsahau JLo naye huwa makini mwanzo wa race...Dogo ana hasira sana huko Silverstone..... MM93 Kibunango
Mkuu kesho tupo kwa Mama! My bet VR atakuwepo kwenye podium....
Haaaa haaaa haaaaa! Nice one! Anyway jamaa wana usongo sana na MM! Hivyo kazi anayo kesho... Fingers closed for VR though!(SI - Unit)Kwani Mkuu wangu, yule bundi wako huwa analia mpaka kwenye paa la MotoGP?
Ntafurahi kama The Doctor atashinda na JL akipata nafasi kwa podium
Haaaa haaaa haaaaa! Nice one! Anyway jamaa wana usongo sana na MM! Hivyo kazi anayo kesho... Fingers closed for VR though!(SI - Unit)
Ni pole yake ya kwanza msimu huu! Jamaa naona ameamka baada ya summer break... Cha msingi ni namna gani ataweza kuigeuza pole hii na kuwa ni ushindi kwake!Jorge Lorenzo on Pole at Misano....
Mmh, leo ipo kazi