MotoGP, WRC, SuperBike and other Motorsports

MotoGP, WRC, SuperBike and other Motorsports

The Doctor anakwenda Ujerumani weekend hii akiwa na smile tele, ni baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na Yamaha....

VR46 yuko poa ila nadhani sababu ya umri kapunguza yale makeke ya enzi zake.

Weekend hii nahisi MM 93 atachukua 9th win.... Honda Repsol wako vizuri sana.
 
10547884_787061274658654_2257052555401726629_o.png

Sachsenring, Free Practice - FP3
 
Huyu dogo yupo kwenye Sayali nyingine.... Who will he stop him?

Dogo anatisha! Ngoja tuone leo atakachokifanya Sachsenring! Alex Marquez nae anajitahidi sana Moto3... Huu mchezo naona Spain wako vizuri zaidi ya Wataliano na nchi zingine...!
 
Sikufanikiwa kuona race yoyote kuanzia practice mpaka qualification ila right now niko mbele ya screen kuona kama Lorenzo anaweza kutoa upinzani kwa Marquez
 
Lorenzo leo ataiona podium... Naona Rossi amekubali kushindwa leo!
 
Bradl kafanya blunder kujiaminisha sana.... MM93 yuko juu mno! Gap imefika 1.185, though Pedrosa anamkimbiza...
 
Red Bull Indianapolis GP ni Weekend Hii...


Ni baada ya mapumziko ya kiangazi... Kama kawa MM anazidi kutisha!
 
Red Bull Indianapolis GP - Pole Position

Issue ya Motogp itakuwa ni saa tatu usiku kwa saa zetu za Afrika Masharik.


Wataanza kama hivi...[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Marquez[/TD]
[TD]Honda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Dovizioso[/TD]
[TD]Ducati[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Lorenzo[/TD]
[TD]Yamaha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Rossi[/TD]
[TD]Yamaha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Pedrosa[/TD]
[TD]Honda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Red Bull Indianapolis GP - Pole Position

Issue ya Motogp itakuwa ni saa tatu usiku kwa saa zetu za Afrika Masharik.


Wataanza kama hivi...[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Marquez[/TD]
[TD]Honda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Dovizioso[/TD]
[TD]Ducati[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Lorenzo[/TD]
[TD]Yamaha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Rossi[/TD]
[TD]Yamaha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Pedrosa[/TD]
[TD]Honda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Marquez ametisha.... Hii weekend anatafuta 11/11 wins... New WR! Dogo yuko vizuri aise...
 
Marquez ametisha.... Hii weekend anatafuta 11/11 wins... New WR! Dogo yuko vizuri aise...
Kinachofurahisha zaidi, hata haibored anavyoshinda na kujiwekea rekodi mpya mpya! Hapana shaka itachukua miaka mingi kutokea kijana mwenye kipaji kama chake!
 
Bwin GP(Czech Republic) - Q2 Results

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1.[/TD]
[TD]Marquez[/TD]
[TD]Respol Honda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.[/TD]
[TD]Dovizioso[/TD]
[TD]Ducati Team[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.[/TD]
[TD]Iannone[/TD]
[TD]Pramac Racing(Ducati)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.[/TD]
[TD]Smith[/TD]
[TD]Monster Yamaha Tech3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.[/TD]
[TD]Pedrosa[/TD]
[TD]Respol Honda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6.[/TD]
[TD]Lorenzo[/TD]
[TD]Movistar Yamaha MotoGP[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7.[/TD]
[TD]Rossi[/TD]
[TD]Movistar Yamaha MotoGP[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom