SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Wadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.
Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma, badala yake imehamishiwa kwenye mafuta.
Sasa nashindwa kuelewa. Je, napaswa kulipa hiyo tarehe 13/6? Kama ni ndiyo, si ntakuwa nalipishwa mara mbili kwa sababu ntanunua mafuta? Matumaini yangu ni kwamba sitakiwi kulipa.
Je, wewe wanishaurije?