Motor Road Licence:Wadau,Nifanyeje?

Motor Road Licence:Wadau,Nifanyeje?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Wadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.

Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma, badala yake imehamishiwa kwenye mafuta.
Sasa nashindwa kuelewa. Je, napaswa kulipa hiyo tarehe 13/6? Kama ni ndiyo, si ntakuwa nalipishwa mara mbili kwa sababu ntanunua mafuta? Matumaini yangu ni kwamba sitakiwi kulipa.
Je, wewe wanishaurije?
 
Si walishasema wamefuta na imehamishiwa kwenye mafuta...

Halafu bajeti mpya ya serikali huanza kutumika kila tarehe 1-7 sasa hapo jiongeze
 
Ukiweza kuwakwepa trafiki wasikumate mpaka tarehe 1 July uta save lakini kama hutaki usumbufu ni bora ulipe
 
Duh! Unamshauri alipe fee ambayo mwisho wake ni June hii!!! Kwanza Afande Mpinga alishasema Traffic kazi yao sio kukamata expired Road Licence kwani tayari fine utakutana nayo siku ya kulipa. Komaa tuu, kwani tax amnesty imeshatolewa na waziri wa fedha.
 
Wadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.

Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma, badala yake imehamishiwa kwenye mafuta.
Sasa nashindwa kuelewa. Je, napaswa kulipa hiyo tarehe 13/6? Kama ni ndiyo, si ntakuwa nalipishwa mara mbili kwa sababu ntanunua mafuta? Matumaini yangu ni kwamba sitakiwi kulipa.
Je, wewe wanishaurije?
Egesha gari lako mpaka baada ya tarehe 1 July.
 
Park gar had July1 ndio ulitoe ndan, au uendeshe kibishi utalipa fine mpaka mara mbili hiv ambazo ni 60000..
 
Paki gari subiri julai mosi liamshe au kama una hela ya mchezo kalipe.
 
Wadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.

Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma, badala yake imehamishiwa kwenye mafuta.
Sasa nashindwa kuelewa. Je, napaswa kulipa hiyo tarehe 13/6? Kama ni ndiyo, si ntakuwa nalipishwa mara mbili kwa sababu ntanunua mafuta? Matumaini yangu ni kwamba sitakiwi kulipa.
Je, wewe wanishaurije?
Unayo mwezi 1 wa kuendelea kutumia gari lako baada ya Road Licence kuisha muda wake, endelea kuendesha gari lako na Traffic hawatakiwi kukusumbua, wakikusumbua mpigie simu Afande Mpinga umfahamishe.
 
Sisi wakulima tutakoma pump za umwagiliaji, mashine za kusaga za mafuta
 
Kama inaisha june 13,una option ya kutumia mwezi mmoja zaidi yan hadi july 13,ondoa shaka mkuu,sukuma ndinga yako mpk july 1 tu
 
Duh! Unamshauri alipe fee ambayo mwisho wake ni June hii!!! Kwanza Afande Mpinga alishasema Traffic kazi yao sio kukamata expired Road Licence kwani tayari fine utakutana nayo siku ya kulipa. Komaa tuu, kwani tax amnesty imeshatolewa na waziri wa fedha.

Mh. Mwigulu amesema jana hata magari yaliyokamatwa kwaajili ya road license yaachiwe, wewe a kwanini ukamatwe? Sukuma ndinga
 
Nauza gari IST rangi grey. Namba DGA. Mwenye uhitaji njoo pm
 
Jamani mi nimetoka kuilipia tarehe 7/6 ....sio siri nimeumia na sina bahati...[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom