Utata umeibuka baada ya ajali mbaya katika barabara ya Kisumu–Busia iliyosababisha vifo vya watu watatu.
Mashahidi wa eneo la tukio wanadai kuwa motorcade ya Health CS Aden Duale iligonga tuktuk na kusababisha ajali hiyo mbaya.
Hata hivyo, idara ya mawasiliano ya waziri huyo imekanusha madai hayo ikisema motorcade haikusababisha ajali bali ilifika kusaidia na kuratibu rescue efforts baada ya tukio kutokea.
Tukio hilo sasa limezua mjadala mkubwa mtandaoni huku wananchi wakitaka uchunguzi wa kina kubaini ukweli – ni motorcade ilisababisha ajali ama ilikuwa tu helping at the scene?
Source: Citizen television