Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ.



Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ



Kwa ufupi tu kuhusu hii simu mpya ๐Ÿ‘‹
๐Ÿ“ธ 200MP Camera
๐Ÿ”ญ Hadi 100x Zoom
โšก Chip ya kizazi kipya ya Snapdragon 8 Elite Gen 6
๐Ÿง  Software update and security kwa Miaka 7.
โ„๏ธ Mfumo mpya wa cooling kwa matumizi mazito na gaming ๐ŸŽฎ
โœจ Muonekano wa premium unaolenga soko la flagship

Samsung Galaxy imepata mpinzani mwingine wa kuangalia! Kwa makini ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Je, unafikiri Motorola Signature 27 inaweza kuwa tishio kubwa kwenye soko la flagship? ๐Ÿค”๐Ÿ“ฑ

#MotorolaSignature27 #Motorola #BongoTech255 #TeknolojiaNiYetuSote
 

Attachments

  • 1_20260923_061117_0000.png
    987.3 KB · Views: 16
Nahayo macho, jinsi yalivyo kaa, ngoja tuone.
 
Miaka ya 2006 mpaka 2010. Motorola alikuwa anapambana na blackberry. Watoto wa 2000 hawawezi kuelewa
BB walikuwa wa moto enzi, hata Motorola pia ktk zile Motorola bapa. Nokia ndio alikuwa balaa.

Naona Samsung alichukua notes ktk kuinuka na kufeli kwa kampuni kisha amezifanyia kazi. Samsung HAPOI, kila siku wa moto.
 
Yote kheri...
Labda na NOKIA waweza rejea.....!!!!!
Kampuni ya Motorola inamilikiwa na Lenovo sasahivi ndio maana wanatoa high quality products
Hao Nokia walibugi, waliwauzia kampuni ya HMD ambayo imekuwa ikiproduce overpriced phones, wakakata nayo tamaa wakabadilisha jina wakaacha kutengeneza simu kwa jina la Nokia wakaanza kuziita HMD. Sikuhizi ndio hazisikiki kabisa hizo HMD. Soko limewakataa

Motorola ilinunuliwa na Lenovo mwaka 2014 na Lenovo ni wazee wa high quality ndio maana unaona simu zao zipo hivyo
 
Uzuri wa Android uko hapa.

Mteja anakuwa na options nyingi, na nguvu ya kumshwishi mteja ipo kwa kampuni lenye products bora kuliko lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ