Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Cheki hii mbanga ..hujui lolote kuhusu hip hop ya A Town
Sasa unachobisha ni nini?

A Town wana hip hop ni Chindo, JCB na akama akina hao!! Ndiyo maana hata miongoni mwa kazi zao wanashirikiana na hao Kikosi Kazi (zamani Tamaduni music). Na akina Nikki Mbishi, Uno, Stereo, P mawenge, Songa na wengineo wanawaheshimu na kuwakubali hao ma-brother wa Arusha.

Hao ndiyo wanofanya hip hop waliyobakia wote hamna kitu! Na style yao ya ku-flow kama gari moshi za zamani.
 
nakuhakikishia ni ngumu kundi kutoa ngoma kumjibu mtu mmoja aliyewadiss.
Hawawezi wakamjibu kwa sababu wao ni wakubwa wazungumze na bwana mdogo ili iweje?

Na ipo wazi hakuna hata mmoja katika KIKOSI KAZI Motra anayemuweza. Kwanza ana mistari ya kuunga unga! Sijaona kipya kwenye mistari yake.
 
Hahah kikosi kazi ni sad generation wenye happy picture.
 
Montra ni hatare na nusu
Hamna kitu kama hicho!

Mex Cortez kamtolea ya kwanza inaitwa elimisha Mduwanzi. Ya pili ipo jikoni inasubiri kuachiwa tu inaitwa futi 12.

Anamsubiri Motra ajibu, Motra anakazi ya kusema Mex hajajibu na kujigamba kwamba Mex ni mdogo sana kwake!

Mex akamwambia aache uoga!! Kama hajajibu aonyeshe uwezo wake yeye Motra kama mwana hip hop ajibu.

Motra hamuwezi Mex Cortez! Hata thumni bado atasubiri kwa Mex.
 
Hahah kikosi kazi ni sad generation wenye happy picture.
Vyovyote itakavyo tafsiriwa iwee!!

Ila ukweli kwa michano huyo Motra bado kabisa! Iliyombeba ni biti. Mistari yake hata mimi naichora! Yaani kaandika kwa kuunga unga! Kwa àmbaye anauejua mziki wa hip hop hili habishi labda aamue tu kubisha kwa sababu zake nyengine ambazo hazina mashiko.

Uno alikutana na Mex Cortez akamwambia umemskia dogo(Motra)? Mex alikuwa bado hajaisikia ngoma ya Motra. Hapo siku 2 au moja na ½ zimepita. Akaisikiliza.

Mex akamwambia brother Uno tulia huyu niachieni mimi. Mex kufika studio kwake producer hayupo alikuwa ametoka. Yeye mwenyewe anajua kurekodi nyimbo tena alikuwa na haraka na mambo yake mengine..

Akatafuta biti yoyote tu itakayomjia kichwani ndiye ile iliyomjia. Akajirekodi mistari akaandika kwa muda mfupi tu na kumkumbusha dogo alipotoka ingawa anakataa.

Akamwambia AMKIA!!! Hii ngoma kaiita elimisha Mduwanzi!

Nyengine kaiita futi 12!!! Watu si wanazikwa kwa futi 6?! Yeye atamzika Motra kwa 12. Mpaka Jana na Juzi alitaka kuiachia hii ngoma. Anamsubiri Motra ajibu, hajajibu mpaka muda huu.!
 
Chief usipanic.

Motra ni mkali nina uhakika 150% humuwezi kwa style, humuwezi kwa mashairi nk.
(Weka nyimbo yako hapa tukusikie🤣)

Hao kikosi kazi wenyewe bado wanajitafuta hadi wamechoka, miaka inaenda mziki umewapa majina bila pesa na ndiyo maana wanastress na wivu dhidi ya waliofanikiwa ndiyo maana kwao kila mtu ni mmbaya kwao.

Huyo mex hii dis track yake ni malalamiko tu kama kaka zake hana content , hana taarifa za opponent wake amejikuta anafanya diss track utadhani yuko jukwaani anafanya rap battle na mtu aliyekutana naye leo.
Ushawahi kuona wapi mtu anarekodi diss track 2 kabla hata hajajibiwa???
Na kwa taarifa yako hakuna atakaye mjibu kwasababu hii diss track yake haina content.

Style zao zinafanana kama mchele wa basmat 🤣🤣🤣
 
Diss Track ya MOTRAA ni the Best Diss haijawahi tokea hapa bongo.

Labda ile ya Roho Saba vs Fid Q ndo inayofuatia.

Hapa bila kupepesa macho kikosi Kazi wamepatwa na mhaho hawajui wajibu nini.

Jana nimepita kwenye page ya Niki mbishi naporomosha tu matusi hahahaha
Roho 7 au Rado Mzee?

Motra hamna kitu pale!

Uarusha tu unakusumbua!
 
Chief usipanic.

Motra ni mkali nina uhakika 150% humuwezi kwa style, humuwezi kwa mashairi nk.
(Weka nyimbo yako hapa tukusikie🤣)

Hao kikosi kazi wenyewe bado wanajitafuta hadi wamechoka, miaka inaenda mziki umewapa majina bila pesa na ndiyo maana wanastress na wivu dhidi ya waliofanikiwa ndiyo maana kwao kila mtu ni mmbaya.

Huyo mex hii dis track yake ni malalamiko tu kama kaka zake hana content , hana taarifa za opponent wake amejikuta anafanya diss track utadhani yuko jukwaani anafanya rap battle na mtu aliyekutana naye leo.
Style zao zinafanana kama mchele wa basmat 🤣🤣🤣
Mwenye hulka ya atakayeiona kwake mambo hayajakaa sawa anakuchana ni Mbishi tu.

Songa hizo hana anafanya mziki wake na mambo yake.

Uno hana anafanya mziki wake na mambo yake.

Mansulii hana haya mambo anafanya mziki wake na mambo yake. Tena Mansulii anafanya Mziki tangu 2003 Sinza. Ushawahi msikia akimsema mtu zaidi ya C Pwaa kusema walichukua biti yake ya Pwaa!

Stereo anafanya mziki wake. Ukimzingua naye anakuchana ila mpaka umzingue.

Azma na wengineo akina Zaaid vivyo hivyo!

Waliyoanza kuwachana ni WEUSI wao wamemalizia kazi tu kama hujui..

Wewe Uarusha unakusumbua tu! Kwani ni nani asiyewajua watu wa Arusha? Mna Usisi. Sina haja ya kukuwekea mashairi ya Mex hapa! Kama watu ambao wapo kwenye hii tasnia ukikaa nao wanasema Mex kaua we nani? Zaidi ya kuleta Uarusha tu?

Eti nini? Hana info za kutosha kuhusu mpinzani wake? Mex kamchana King B Swag wa Sierra Leone (diss track) na jamaa alikaa! Motra yeye nani? Hata kwenye interview Mex àliulizwa swali hili. Jawabu lake ni rahisi tu, ajibu halafu aone kitakachomjia. Yeye Motra si ni mkali? Asiishie kujibu kwenye interview yeye ajibu diss track ya Mex.

Na hakuna aliyepanick. Dogo Amkie..
Kingine sina muda wa kuweka mashairi mzee ila nikikaa namkalisha Vizuri tu Motra.
 
Na wewe utaambiwa ni uzaramo ndiyo unakusumbua.

Chief weka hapa track yako tukusikie maana umesema wewe ni mkali kuliko Motra the future 😂
Kiongozi!

Cha kwanza mimi si mzaramo! Mimi ni watu wenye asili ya mashariki ya kati. Ila naujua mziki wa hip hop na nawajua watu wa Arusha vilevile.

Na mziki sijaanza kuujua leo tangu nipo mdogo. Sinza ya miaka ya 2000-2005 unaijua eeeh! Ndipo nilipokulia mimi. Hawa wasanii wote hao akina Jmoo, Mansulii, Saigon, FA, Ngwair, Chidi Benz alikuwa anakuja na wasanii wengineo ndipo nilipokulia.

Kichwani mwangu nina nyimbo nyingi sana za hip hop, rap katuni, hao akina Juma Nature mpaka TMK, Rhino, n.k mpaka kwa akina Lunduno ikawa Tamaduni music mpaka Kikosi Kazi.

Hivyo kichwani mwangu nina maneno zaidi ya 1000 kuhusu mashairi. Nimesoma mashairi ya Kale wa Pemba, Mashairi ya Shaabani Robert, Nimesoma tenzi tofauti za Kiswahili kama tenzi za Jaafar bin Kaasim n.k na hizi ni za Kiswahili tu mbali za lugha nyengine.

Nimefuatilia mziki wa hip hop tangu nikiwa mdogo mpaka 2017. Kichwani nina mashairi kibao. Hivyo, najua mistari ipi ni Shallow na ipi ni deep! Sina muda wa kuandika mashairi.

Ila ukweli ni lazima usemwe hata kama ukipingwa na wengi hautobadili kuwa kinyume. Mistari ya Motra ni myepesi mnoo! Hana tofauti na Stamina.
 
Chief nimeishia kusoma hapo uliposema umeanza kufatilia mziki mwaka 2000 😂

Ur still a junior. Mimi nakaa meza moja na Chief Ramson( nowdays anajiita Zavara) yani mc Zaiid nimemuona akizaliwa.
Reference yako ya kina juma nuture na kina inspector Haroun ni expirience ya juzi kabisa bado hainipi sababu ya kukuamini kuwa wewe ni mkali kuliko Motra otherwise weka ngoma yako hapa.
Kusoma vitabu vya mashairi ni jambo moja, na kuyachana hayo mashairi ni jambo lingine.

Kubali-kataa dogo amewachana kwa akili na style kali sana hao mabraza zako na mmeumia kweri-kweri.

Huyu motra labda mumjibu kwa albam mzima 🤣🤣🤣
 
Kiongozi!

Cha kwanza mimi si mzaramo! Mimi ni watu wenye asili ya mashariki ya kati. Ila naujua mziki wa hip hop na nawajua watu wa Arusha vilevile.

Na mziki sijaanza kuujua leo tangu nipo mdogo. Sinza ya miaka ya 2000-2005 unaijua eeeh! Ndipo nilipokulia mimi. Hawa wasanii wote hao akina Jmoo, Mansulii, Saigon, FA, Ngwair, Chidi Benz alikuwa anakuja na wasanii wengineo ndipo nilipokulia.

Kichwani mwangu nina nyimbo nyingi sana za hip hop, rap katuni, hao akina Juma Nature mpaka TMK, Rhino, n.k mpaka kwa akina Lunduno ikawa Tamaduni music mpaka Kikosi Kazi.

Hivyo kichwani mwangu nina maneno zaidi ya 1000 kuhusu mashairi. Nimesoma mashairi ya Kale wa Pemba, Mashairi ya Shaabani Robert, Nimesoma tenzi tofauti za Kiswahili kama tenzi za Jaafar bin Kaasim n.k na hizi ni za Kiswahili tu mbali za lugha nyengine.

Nimefuatilia mziki wa hip hop tangu nikiwa mdogo mpaka 2017. Kichwani nina mashairi kibao. Hivyo, najua mistari ipi ni Shallow na ipi ni deep! Sina muda wa kuandika mashairi.

Ila ukweli ni lazima usemwe hata kama ukipingwa na wengi hautobadili kuwa kinyume. Mistari ya Motra ni myepesi mnoo! Hana tofauti na Stamina.
Mnaleta sana ukanda ndiyo tatizo.
Na ni kwanin utunge mashairi maguumu mpaka wengine wasiyaelewe ndiyo hip hop inasema hivyo?
 
Mwenye hulka ya atakayeiona kwake mambo hayajakaa sawa anakuchana ni Mbishi tu.

Songa hizo hana anafanya mziki wake na mambo yake.

Uno hana anafanya mziki wake na mambo yake.

Mansulii hana haya mambo anafanya mziki wake na mambo yake. Tena Mansulii anafanya Mziki tangu 2003 Sinza. Ushawahi msikia akimsema mtu zaidi ya C Pwaa kusema walichukua biti yake ya Pwaa!

Stereo anafanya mziki wake. Ukimzingua naye anakuchana ila mpaka umzingue.

Azma na wengineo akina Zaaid vivyo hivyo!

Waliyoanza kuwachana ni WEUSI wao wamemalizia kazi tu kama hujui..

Wewe Uarusha unakusumbua tu! Kwani ni nani asiyewajua watu wa Arusha? Mna Usisi. Sina haja ya kukuwekea mashairi ya Mex hapa! Kama watu ambao wapo kwenye hii tasnia ukikaa nao wanasema Mex kaua we nani? Zaidi ya kuleta Uarusha tu?

Eti nini? Hana info za kutosha kuhusu mpinzani wake? Mex kamchana King B Swag wa Sierra Leone (diss track) na jamaa alikaa! Motra yeye nani? Hata kwenye interview Mex àliulizwa swali hili. Jawabu lake ni rahisi tu, ajibu halafu aone kitakachomjia. Yeye Motra si ni mkali? Asiishie kujibu kwenye interview yeye ajibu diss track ya Mex.

Na hakuna aliyepanick. Dogo Amkie..
Kingine sina muda wa kuweka mashairi mzee ila nikikaa namkalisha Vizuri tu Motra.
Weka hapa bars 4 tu za Mex zenye content inayomuhusu Motra.

By the way P Mawenge ameshakiri kuwa harakati za kikosi kazi ni miyeyusho zimekaa kichuki hazina future.
 
Chief nimeishia kusoma hapo uliposema umeanza kufatilia mziki mwaka 2000 [emoji23]

Ur still a junior. Mimi nakaa meza moja na Chief Ramson( nowdays anajiita Zavara) ambaye ni yani mc Zaiid nimemuona akizaliwa.
Reference yako ya kina juma nuture na kina inspector Haroun ni expirience ya juzi kabisa bado hainipi sababu ya kukuamini kuwa wewe ni mkali kuliko Motra otherwise weka ngoma yako hapa.
Kusoma vitabu vya mashairi ni jambo moja, na kuyachana hayo mashairi ni jambo lingine.

Kubali-kataa dogo amewachana kwa akili na style kali sana hao mabraza zako na mmeumia kweri-kweri.

Huyu dogo labda motra labda mumjibu kwa albam mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kwanin mtu asome vitabu ndiyo aje atuchanie?
Tatizo ni kuwa kikosi kazi wengi hawataki kuja na ladha tofautitofati hilo ndio tatizo.
Kila siku style ileile wawe wanaswitch kidogo.
 
Weka hapa bars 4 tu za Mex zenye content inayomuhusu Motra.

By the way P Mawenge ameshakiri kuwa harakati za kikosi kazi ni miyeyusho zimekaa kichuki hazina future.
Huu ndo ukweli hawataki kuukubali.
Na pale itakuwa kuna mtu kawashika masikio tu. Hawasikii.
 
Na kwanin mtu asome vitabu ndiyo aje atuchanie?
Tatizo ni kuwa kikosi kazi wengi hawataki kuja na ladha tofautitofati hilo ndio tatizo.
Kila siku style ileile wawe wanaswitch kidogo.
Na ndiyomaana wameambiwa style zao zinafanana kama mchele wa Basmat
 
Back
Top Bottom