Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

Mpumbavu mkubwa, anakuja kutuambia leo ili iweje?
 
Leo ndio final
3rd Senegal vs Benini (boys)
Final Tanzania vs Guinea (boys)

3rd Tanzania vs Uganda (girls)
Final South Africa vs Morroco (girls)
Game ni 40 minutes Yako poa sana
Lots of promising talents hasa kutoka Senegal
Aaah tuanze usajili mapema
 
Lazima aone aibu maana yuko Zanzibar,na maneno mengi yaliyozungumzwa yalionyesha Mamemodi imebebwa kwasababu yake yeye,anajaribu kujisafisha tu hana lolote
 
alifikiri ni goli lile kumbe siyo goli. Elewa kiswahili acha utopwinyo
 
Rais wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekiri kuwa kama angekuwa shabiki angeona goli la Yanga lililokataliwa mwamuzi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns Afrika Kusini kuwa lilikuwa goli halali.

Rais Motsepe ameyasema hayo leo alipowasili visiwani Zanzibar katika fainali za African schools football na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa TFF Wallace Karia.
 
ile ilikua hujuma ya wazi na niabu kwa uongozi wa CAF na mchezo wa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…