Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA

Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns.

"Nilipokutana na Rais Wallace (Karia) baada ya ile mechi ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga SC nilimwambia 'Nilifikiri ni goli lile', lakini kama Rais wa CAF siruhusiwi kusema chochote"..

#FutbalPlanetUpdates

NB:Kwani Makolo mnasemaje !!!!!View attachment 2997935
dah kiswahili shida,sio akili ni akiri
 
Lakini hatukumsikia karia akitoa maoni ya kuunga mkono kampeni ya yanga kudai haki yao .
 
Saidoo alipiga foul nzuri mechi ya Simba na Dodoma jij nilifikiri goli kumbe iligonga mwamba Bana na Mimi ni shabiki sina cha kufanya.
 
Uto tumepeleka Zenji Rais Eng Hersi kumnyoosha my wetu ambae hawakualikwa kwenye sherehe za kukabidhi kombe watoto wa kibongo walioshinda taji la soka kwa shule za Africa.

Kweli Yanga ni level ingine kwasasa, Leo tumeona Eng Hersi akianza kuzoea kukaa meza moja na Motsepe,muda unakuja ataanza kuitwa FIFA na one day Hersi anaweza kuwa Rais wa CAF na kuamuru marefa kukataa magoli ya Mamelodi dhidi ya uto kwenye fainali ya CAF champion league kati ya Yanga na Mamelodi!.
kwa hiyo utopolo watapeleka timu?
 
Lile lilikuwa goli halali kabisa na ndiyo Maana hadi sasa utopolo wako fainali ya CAFCL
 
PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA

Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns.

"Nilipokutana na Rais Wallace (Karia) baada ya ile mechi ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga SC nilimwambia 'Nilifikiri ni goli lile', lakini kama Rais wa CAF siruhusiwi kusema chochote"..

#FutbalPlanetUpdates

NB:Kwani Makolo mnasemaje !!!!!View attachment 2997935
Bado mnaweweseka tu, vipi ile barua mliyoandika majibu yake bado tu hamjarudishiwa ?
 
PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA

Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns.

"Nilipokutana na Rais Wallace (Karia) baada ya ile mechi ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga SC nilimwambia 'Nilifikiri ni goli lile', lakini kama Rais wa CAF siruhusiwi kusema chochote"..

#FutbalPlanetUpdates

NB:Kwani Makolo mnasemaje !!!!!View attachment 2997935
Akili ❌❌❌
Akiri ✅✅✅
Screenshot_20240525-100713.jpg
 
Back
Top Bottom