Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajua kucheza na akili za wabongo huyu baba, Lol
 
Kweli Yanga ni level ingine kwasasa, Leo tumeona Eng Hersi akianza kuzoea kukaa meza moja na Motsepe,
Simba aliyekuwa anakaa meza moja na Rais wa CAF sio kiongozi mkuu, bali CEO tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…