Motsepe ndiye Rais wa CAF wa ovyo kuwahi kutokea

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Hili limzee bwana

Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa ..

Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha,
Yaani wakisema huyu hatumtaki basi hautoboi hapo,
So motsepe alilamba viatu vya waarabu kwanza plus pesa zake ndiyo akatoboa .

Hilo sio shida sana
Shida ni namna anavyoiendesha CAF kana kwamba mbususu ya mkewe!

Kwanza ni kuhusu hili sekeseke la CAFCC kutaka kuifuta,
Pasipo wadau na wajumbe kukaza basi hili limzee lingeifuta tu, bila kuwaza mbali.

Hata hiyo AFL aliyoileta ni project ambayo ulaya wameikataa na failure project so huku wameona ndiyo wafanye test Africa na lenyewe limekubali hili limzee na macho yake kama limebanwa na mlango kwenye kidole.

Tulitegemea atakaposhika uongozi basi waarabu angalau watanyooka kidogo lakini ndiyo kwanza

ISSUE YA BERKANE NA USMA KULETA UPUMBAVU WAO KWENYE SOKA..
Hawa wawili walitakiwa wawe funzo kwa wengine wanaoleta politics kwenye soka , hasa hawa USMA lakini mpaka kaona kwamba watu wamekuwa serious ndiyo katoa ban kwa USMA tangu game ya kwanza , kimsingi wote wawili walitakiwa kupigwa ban na fine Juu kabisa .

Halafu hebu imagine yanga au simba ndiyo hata wangegoma unadhani nini kingewapata kama sio kufungiwa hata miaka kumi kushiriki na hakuna kukata rufaa

Lakini unaona USMA kwa kujiamini wamepeleka kesi CAS kusishtaki CAF na Berkane..! What a move..!

Angejaribu yanga au simba mbona ingekuwa ndiyo break ya kufungiwa maisha?

Kismingi waarabu wana nguvu na ndiyo wanaicontrol CAF wao ndiyo marais motsepe chawa tu kazi yake kutimiza basi ..hana meno.

MAKAO MAKUU YA ACA YALIYOKUWA KENYA SASA YATAHAMIA MOROCCO..!
Sasa angalau hata wangepeleka hata hapo Nigeria au ivory cost lakini kapeleka Morocco kwa waarbu why? Why kila kitu huko?

CAF headquarters in Egypt
ACA sasa ni Morocco.

Draw na mambo mengine kama hayo ni Egypt.

Sasa ndiyo tunaenda wapi?
Huyu mzee yaani mpaka karne hii kashindwa kufanya soka letu lichezwe fair bado kuna mambo ya kishamba yeye anachekela tu ..

Yanga walifanyiwa vurugu na USMA kule kwao wakati wa final siku moja kabla ya match.

Ball boys na macamera men walikuwa wanaficha mipira uwanjani mpaka aibu lenyewe linachekelea tu..

Na bado team yake ya mchongo mamelodi ikapita kijanja janja dhidi ya yanga wote nyie mashahidi akaacha.

Lakini Mungu sio athuman waarabu hao hao wamewafulumusha ...

KUHUSU AFL
Motsepe alitakiwa aongeze mashindano mengine na sio kufuta glad wajumbe waligoma CAFcc kufutwa sababu ya hiyo AFL..!

CAFCc inabeba team nyingi sana ndogo zikaoneshe uwezo wao , sasa team kama Dream fc zikacheze wapi?

Simba nao wakacheze wapi? Maana kuna uwezekano wakacheza CAFCc maana huko AFL watatolewa mapema tu..

Motsepe akimaliza muhula wake asepe na nashauri injinja HERSI SAID ashike nafasi yake kwa maslahi ya AFRICA sio ARABS...

Its Pancho
 
Sasa mbona unatupigia makelele usiku huu muda wa kulala na wake zetu mkuu au shemeji yupo Brid
Unapigiwa kelele au unajipigia kelele kwa kufuata yasiyokuhusu? Wewe muda wa kulala na mke wako humu unafuata nini kama sio umbeya?
 
Wewe lala nani kakukataza? Muda huyu uko hapa mkeo analiwa huko na shambaboy
 
Unapigiwa kelele au unajipigia kelele kwa kufuata yasiyokuhusu? Wewe muda wa kulala na mke wako humu unafuata nini kama sio umbeya?
Acha zegwe dogo mimi sio Mzize sawa
 
Uzi wako umesahau kuweka tukio la Berkane dhidi ya USMA ambayo imetokana na mambo ya kisiasa.
 
Hili limzee bwana

Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa ..

Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha,
Yaani wakisema huyu hatumtaki basi hautoboi hapo,
So motsepe alilamba viatu vya waarabu kwanza plus pesa zake ndiyo akatoboa .

Hilo sio shida sana
Shida ni namna anavyoiendesha CAF kana kwamba mbususu ya mkewe!

Kwanza ni kuhusu hili sekeseke la CAFCC kutaka kuifuta ,
Pasipo wadau na wajumbe kukaza basi hili limzee lingeifuta tu, bila kuwaza mbali.

Hata hiyo AFL aliyoileta ni project ambayo ulaya wameikataa na failure project so huku wameona ndiyo wafanye test Africa na lenyewe limekubali hili limzee na macho yake kama limebanwa na mlango kwenye kidole.

Tulitegemea atakaposhika uongozi basi waarabu angalau watanyooka kidogo lakini ndiyo kwanza

MAKAO MAKUU YA ACA YALIYOKUWA KENYA SASA YATAHAMIA MOROCCO..!
Sasa angalau hata wangepeleka hata hapo Nigeria au ivory cost lakini kapeleka Morocco kwa waarbu why? Why kila kitu huko?

CAF headquarters in Egypt
ACA sasa ni Morocco..!
Draw na mambo mengine kama hayo ni Egypt..!

Sasa ndiyo tunaenda wapi?
Huyu mzee yaani mpaka karne hii kashindwa kufanya soka letu lichezwe fair bado kuna mambo ya kishamba yeye anachekela tu ..

Yanga walifanyiwa vurugu na USMA kule kwao wakati wa final siku moja kabla ya match.

Ball boys na macamera men walikuwa wanaficha mipira uwanjani mpaka aibu lenyewe linachekelea tu..

Na bado team yake ya mchongo mamelodi ikapita kijanja janja dhidi ya yanga wote nyie mashahidi akaacha.

Lakini Mungu sio athuman waarabu hao hao wamewafulumusha ...

KUHUSU AFL
Motsepe alitakiwa aongeze mashindano mengine na sio kufuta glad wajumbe waligoma CAFcc kufutwa sababu ya hiyo AFL..!

CAFCc inabeba team nyingi sana ndogo zikaoneshe uwezo wao , sasa team kama Dream fc zikacheze wapi?
Simba nao wakacheze wapi? Maana kuna uwezekano wakacheza CAFCc maana huko AFL watatolewa mapema tu..

Motsepe akimaliza muhula wake asepe na nashauri injinja HERSI SAID ashike nafasi yake kwa maslahi ya AFRICA sio ARABS...

Its Pancho
Yaani hii yote ni kukataliwa kwa goli la azizi ki ndio unamshushia hasira zako motsepe
Kwa taarifa yako motsepe sio mtendaji wa day to day activities za mamelodi unamuonea bure.
 
Kikubwa pesa tu, mpira wa Africa umekaa kimagendo sana.
Kama hii issue ya berkane na USMA yaani siasa zinaingizwa kwenye soka hawa hawa USMA wao CAF walitakiwa wakatae siasa kwenye soka

Yaani kusingekuwa na haya saivi wanakurupuka kuwapokonya point USMA .
 
Back
Top Bottom