Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Mimi nilishawaza labda viongozi wameamua kutuzuga na hii corona ili dunia ipumue kidogo. Sababu kuna cases za watu kufariki na magonjwa mengine afu wanasingiziwa wamefariki na corona.Kuna mtu humu nilimwambia corona pia Ina faida zake.
Akaniona KICHAA..
Nafikiri mungu ameamua kuipumzisha dunia yake.fujo zilizidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app