Nilitaka kusema uongo hadi nilipo ona umeitaja Nanyuki. Umenikumbusha enzi zile nilipokuwa huko 'Mwisho wa Reli', wanasemaga Mombasa Raha ila Nanyuki sasa ndio kuna raha yenyewe. View ya Kirinyaga 24/7 na warembo nao, acha tu, sampuli ni zote wasamburu, wasapere, wameru, wazungu, waborana, wasomali, warendile hadi na wandorobo. [emoji1] Tatizo kuna baridi kama Alaska, yaani unavalia sweta ndani, koti juu, gloves, marvin, soksi nzito, ndani ya nyumba ukijitayarisha kuingia kitandani. [emoji1] Wakati wa mechi mrembo unamvua layer after layer kama kitunguu, alafu hapo uzito wa blanketi ni zaidi ya kilo 30. Yaani mnahema ni kama mpo kwenye INEOS 1:59 Challenge. [emoji38] Nanyukie!