Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

Mount Kenya inaonekana kutoka Nairobi

View attachment 1427566Waking up to this view everyday, from the equatorial town of Nanyuki
Nilitaka kusema uongo hadi nilipo ona umeitaja Nanyuki. Umenikumbusha enzi zile nilipokuwa huko 'Mwisho wa Reli', wanasemaga Mombasa Raha ila Nanyuki sasa ndio kuna raha yenyewe. View ya Kirinyaga 24/7 na warembo nao, acha tu, sampuli ni zote wasamburu, wasapere, wameru, wazungu, waborana, wasomali, warendile hadi na wandorobo. [emoji1] Tatizo kuna baridi kama Alaska, yaani unavalia sweta ndani, koti juu, gloves, marvin, soksi nzito, ndani ya nyumba ukijitayarisha kuingia kitandani. [emoji1] Wakati wa mechi mrembo unamvua layer after layer kama kitunguu, alafu hapo uzito wa blanketi ni zaidi ya kilo 30. Yaani mnahema ni kama mpo kwenye INEOS 1:59 Challenge. [emoji38] Nanyukie!
 
Zenga, nimeona wewe ni mwenyeji huku. Rona ikiisha tembea twende Hemisphere Bill yote kwangu. Ukitaka mtoto wa Kisamburu Arema nitalipia 😂
 
Look at your biased stupid ass, why would u thnk de problem is our edu system and not me.
Hukumsikia mtoto wa raila anasema olduvai gorge ipo kenya.
Is something right with your education system.
I never paid attention abt the second tallest the moment i knew mt kilimanjaro was the tallest.

Sent using Jamii Forums mobile app

Thank you for clarifying that it's you that's stupid, not your education system. How's you Mr. Stupid?
 
Zenga, nimeona wewe ni mwenyeji huku. Rona ikiisha tembea twende Hemisphere Bill yote kwangu. Ukitaka mtoto wa Kisamburu Arema nitalipia
Hahaa! 😀 Nitatembea God willing. Nilikuwa na shughuli maeneo ya Sweet Waters na Timau pia mapema mwezi huu. Ila nikahairisha hadi baadaye kwasababu ya Corona. Hivi ile joint ya nyama ya ngamia mbele kidogo ya Joskaki ilikuwa inaitwaje?
 
Usisahau wambeere pia ,nanyuki ni kutamu,tatizo baridi ,Kuna kipindi nilikua nyandarua tumaini kule ndani nilikua nafreez ,chai ukitoa kwa Moto ni kwa mdomo direct ukieka chini dakika mbili itabidi upashe Tena maana itakua tayari ishapoa.
Nilitaka kusema uongo hadi nilipo ona umeitaja Nanyuki. Umenikumbusha enzi zile nilipokuwa huko 'Mwisho wa Reli', wanasemaga Mombasa Raha ila Nanyuki sasa ndio kuna raha yenyewe. View ya Kirinyaga 24/7 na warembo nao, acha tu, sampuli ni zote wasamburu, wasapere, wameru, wazungu, waborana, wasomali, warendile hadi na wandorobo. [emoji1] Tatizo kuna baridi kama Alaska, yaani unavalia sweta ndani, koti juu, gloves, marvin, soksi nzito, ndani ya nyumba ukijitayarisha kuingia kitandani. [emoji1] Wakati wa mechi mrembo unamvua layer after layer kama kitunguu, alafu hapo uzito wa blanketi ni zaidi ya kilo 30. Yaani mnahema ni kama mpo kwenye INEOS 1:59 Challenge. [emoji38] Nanyukie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kusema uongo hadi nilipo ona umeitaja Nanyuki. Umenikumbusha enzi zile nilipokuwa huko 'Mwisho wa Reli', wanasemaga Mombasa Raha ila Nanyuki sasa ndio kuna raha yenyewe. View ya Kirinyaga 24/7 na warembo nao, acha tu, sampuli ni zote wasamburu, wasapere, wameru, wazungu, waborana, wasomali, warendile hadi na wandorobo. [emoji1] Tatizo kuna baridi kama Alaska, yaani unavalia sweta ndani, koti juu, gloves, marvin, soksi nzito, ndani ya nyumba ukijitayarisha kuingia kitandani. [emoji1] Wakati wa mechi mrembo unamvua layer after layer kama kitunguu, alafu hapo uzito wa blanketi ni zaidi ya kilo 30. Yaani mnahema ni kama mpo kwenye INEOS 1:59 Challenge. [emoji38] Nanyukie!
Mzee nimeshawishika.Nitatembea uko baada ya corona kama nikijaliwa uhai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa! 😀 Nitatembea God willing. Nilikuwa na shughuli maeneo ya Sweet Waters na Timau pia mapema mwezi huu. Ila nikahairisha hadi baadaye kwasababu ya Corona. Hivi ile joint ya nyama ya ngamia mbele kidogo ya Joskaki ilikuwa inaitwaje?
Karibu Jomba. Sipendi nyama ya ngamia 😂 That must be Springfield Butchery au Kungu Maitu. Hizi route kweli umechapa!!
 
Karibu Jomba. Sipendi nyama ya ngamia That must be Springfield Butchery au Kungu Maitu. Hizi route kweli umechapa!!
Springfield yes, sio Kungu Maitu, nilijaribu sana kukumbuka hilo jina. Boss, supu ya ngamia na hiyo baridi ya Mwisho wa Reli zilikuwa zinaendana sana. Ukitoka hapo Springfield jasho linakutoka hadi kwenye kisigino, alafu unajihisi kama Popeye hivi. 😀 Dah, Nanyuki ni kuzuri sana.
 
Usitie chunvi Sana, mbona nyama ya ngamia mnaipenda lakini? Una utamu au faida zipi mwilini? Nashangaa hata watu wanakunywa maziwa ya ngamia.
Springfield yes, sio Kungu Maitu, nilijaribu sana kukumbuka hilo jina. Boss, supu ya ngamia na hiyo baridi ya Mwisho wa Reli zilikuwa zinaendana sana. Ukitoka hapo Springfield jasho linakutoka hadi kwenye kisigino, alafu unajihisi kama Popeye hivi. 😀 Dah, Nanyuki ni kuzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Springfield yes, sio Kungu Maitu, nilijaribu sana kukumbuka hilo jina. Boss, supu ya ngamia na hiyo baridi ya Mwisho wa Reli zilikuwa zinaendana sana. Ukitoka hapo Springfield jasho linakutoka hadi kwenye kisigino, alafu unajihisi kama Popeye hivi. 😀 Dah, Nanyuki ni kuzuri sana.
Catch me dead feasting a camel! LoL
2955571088_e18b974523_o.jpg
Kweli jombaa, ukipenda waulize kina Kimberly na Becky pia. Hawachelewi kuja huku 😂
 
Binadamu kweli waharibifu , kipindi kifupi cha corona mazingira yamejitibu .
 
I haven't claimed that eligon is entirely in Kenya,I know it's shared between two countries and it's always visible early morning. Ukiwa mkoa wa magharibi unauona tu, about the tourist I don't know because am not an employee of the kenya tourism board.

Sent using Jamii Forums mobile app
And why did u say Mt Elgon is in Kunyaland and deliberately forgot to mention Uganda while u knew only 1/4 of shorter peaks r in Kunyaland! Stop misleading!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
 
Kwn wewe inakuuma mt elgon kuwa kenya pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah IRMAO kila kitu ni cha Kunyaland i thought huwa mna-claim Mt Kilimanjaro tu that 100% in Tanzanian territory! Kumbe hata Mt Elgon that u share with Uganda at 1/4: 3/4 with all taller peaks in Uganda is deliberately claimed to be Kunyan!

Ukunya ni tabia! I bet u can see the Mt Elgon from ur sharky house in Kibera! 😀 👇

Back
Top Bottom